Nahisi huyu kaandika baada ya kuona tukio la harmonize kwenda kanisani.Kanisani haifai kwa mganga inategemea unaenda kufanya kipi hasa
Mkuu, Mashekhe Huwa wanatoaje pepo?Umewahi kujiuliza kwanini Mashekhe wengi ni waganga wa kienyeji?
Unajua kwanini Waislam na Majini wanapatana sana?
Ulishawahi Ona shekhe akitoa Pepo kwa kulikemea?
Wewe ndiyo uliyefananisha... kwa kuhisiNahisi huyu kaandika baada ya kuona tukio la harmonize kwenda kanisani.
Anataka kuufananisha Uislam na "muislam" aliyemfata shetani.
Ndiyo.Wewe ndiyo uliyefananisha... kwa kuhisi
Maneno haya siyo mageni labda kwa wageni..Sio tu wewe kujivunia uislam, Dunia nzima inajivunia uislam maana isingekuwa uislam dunia nzima wangekuwa makafir na ghadhahu ya Mungu ingewashukia
Uislamu huu uliokuja juzi juzi hapa na Muhammad?Sio tu wewe kujivunia uislam, Dunia nzima inajivunia uislam maana isingekuwa uislam dunia nzima wangekuwa makafir na ghadhahu ya Mungu ingewashukia
Wewe muislamu wa dhehebu gani kati ya haya👇👇Kwenda kwa mganga ni sahihi, kwemda kwa mchawi ndiyo hairuhusiwi. Kiswahili hata daktari anaitwa mganga.
Mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu.
Mimi ni Muislam.Wewe muislamu wa dhehebu gani kati ya haya👇👇
1. Sunni
2. Shia
3. Ibadi
4. Ahmadiyya
5. Sufi
6. Ismaili
7. Zaydi
8. Druze
9. Wahhabi (Salafi)
10. Hanafi
11. Maliki
12. Shafi'i
13. Hanbali
14. Twelvers (Ithna Ashariyya)
15. Bohras
16. Nizari
17. Musta'li
18. Qarmatians
19. Kharijites
20. Azraqi
21. Ibadiyah
22. Sufriyah
23. Quranists
24. Murji'ah
25. Mutazila
26. Ash'ari
27. Maturidi
28. Batinis
29. Alawites
30. Alevi
31. Yazdanism
32. Shaykhism
33. Bektashi
34. Kaysaniyah
35. Bayaniyyah
36. Ghulat
37. Mahdavia
38. Zahiri
39. Jafari
40. Akhbari
41. Usuli
42. Hurufi
43. Jahmiyyah
44. Shadhili
45. Qadiri
46. Naqshbandi
47. Tijaniyyah
48. Chishti
49. Rifa’i
50. Mevlevi
51. Barghawata
52. Fatimids
53. Ikhwan al-Safa
54. Shabbak
55. Babis
56. Bahais (ilianza kutoka Kiislamu)
57. Khawarij
58. Isfahani
59. Akhbari
60. Usuli
61. Asha'ira
62. Barelvi
63. Deobandi
64. Tablighi Jamaat
65. Ikhwanul Muslimin
66. Jamaat-e-Islami
67. Haruriyyah
68. Wahdat-ul-Wujud
69. Wahdat-ul-Shuhud
70. Sayyidiyya
71. Muhammadiyyah
72. Lubbai
73. Tijani
Dhehebu gani usiruke rukeMimi ni Muislam.