Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Hivi kuna umbali gani hapa na PM ?

Ila mimi siwafichi aisee,nikizidiwa huwa naingia tu PM kumuelezea muhusika hisia zangu,tusipoelewana basi,mguu sawa,mguu upande,kushoto kulia nyuma geuka safari...........!
Ndiwo. Maana unatoa hisia zako kukubaliwa au kukataliwa ni juu ya mtu
 
Umeniandikia vitu nashindwa hata kujibu. Wewe kesi yako inaeleweka. Naongelea wale wanaoenda halafu wanasema hawaendi ni kwamba usipoenda pm unakua MTU wa aina gani?
 
-Pm
-Ban

Hivi vitu sijui vina rangi gani au umbali wa kilomita ngapi kutoka hapa, manake nimeona karibia wanawake wote wa humu ukiwafwata Pm na za mchana,umekula,umevaa nguo ya rangi gani unakuja kuanzishiwa sredi huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Lol.. Sio kweli bwana
 
Iliwahi nitokea kwenye uzi mmoja niliimply kua kuna member najuana naye nje ya jf.
Kilichotokea ni alinikasirikia. Kutoka pale nikajua kua privacy kwa JF ni ishu serious mno, sijawahi tena kujiingiza kwenye ordeal kama ile.
 
Huyo Ana gubu tu. Kwanini alikasirika? Labda hayuko proud na kujuana kwenu ndo sababu hataki watu wajue mnajuana
 
Kujuana na mtu wa JF ina a social setting ni hatari mno....

Hatari ni something very expensive I can not afford!

Mtu ajue tu Wyatt ni internet character aliyepo JF,thats it!No more no less!
 
Huyo Ana gubu tu. Kwanini alikasirika? Labda hayuko proud na kujuana kwenu ndo sababu hataki watu wajue mnajuana
Gubu hapana, pride sidhani mi kichwa changu kilihitimisha kua tatizo ni privacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…