Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio najifanya siendi pmEti naww unajifanya huendi pm
Ndiwo. Maana unatoa hisia zako kukubaliwa au kukataliwa ni juu ya mtuHivi kuna umbali gani hapa na PM ?
Ila mimi siwafichi aisee,nikizidiwa huwa naingia tu PM kumuelezea muhusika hisia zangu,tusipoelewana basi,mguu sawa,mguu upande,kushoto kulia nyuma geuka safari...........!
Umeniandikia vitu nashindwa hata kujibu. Wewe kesi yako inaeleweka. Naongelea wale wanaoenda halafu wanasema hawaendi ni kwamba usipoenda pm unakua MTU wa aina gani?Kwanini uwaze kua kutokwenda pm ni ufahari? kwani neno ufahari unalitafsiri vipi kwa mtazamo wako? kwanini usione tu kua ni jambo la kawaida kutokana na maamuzi ya mtu?
JF kila mtu yupo kwa malengo yake,wapo waliokuja kwa malengo ya kukimbizana na wadada huko pm au kujikuta wakivutika huko pm,
Mimi binafsi sina hayo mambo ya pm na wala sijawahi kuongea na mtu huko pm,ni maamuzi ya mtu tu na malengo yake wala sio ufahari.
Lol.. Sio kweli bwana-Pm
-Ban
Hivi vitu sijui vina rangi gani au umbali wa kilomita ngapi kutoka hapa, manake nimeona karibia wanawake wote wa humu ukiwafwata Pm na za mchana,umekula,umevaa nguo ya rangi gani unakuja kuanzishiwa sredi huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Ana gubu tu. Kwanini alikasirika? Labda hayuko proud na kujuana kwenu ndo sababu hataki watu wajue mnajuanaIliwahi nitokea kwenye uzi mmoja niliimply kua kuna member najuana naye nje ya jf.
Kilichotokea ni alinikasirikia. Kutoka pale nikajua kua privacy kwa JF ni ishu serious mno, sijawahi tena kujiingiza kwenye ordeal kama ile.
Kama vile mimi ninavtokuelezea hisia zangu lakini hunielewi.Ndiwo. Maana unatoa hisia zako kukubaliwa au kukataliwa ni juu ya mtu
Mimi naenda huko PM halafu mtu huku aje kunitaja. Kudadadadeeeeeki sijui atanibeba kwa mbeleko gani.....Wanaenda bwana ila wanakana kwenye majukwaa
Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.
Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Gubu hapana, pride sidhani mi kichwa changu kilihitimisha kua tatizo ni privacy.Huyo Ana gubu tu. Kwanini alikasirika? Labda hayuko proud na kujuana kwenu ndo sababu hataki watu wajue mnajuana
Kwangu sijazoea. Ila si unanikumbuka lakini ? Au umenisahau ?Kawaida tu hiyo mkuu