PreGE2025 Swali kwa CHADEMA: Suppose kesho CCM for that matter serikali inaamua kuweka tume huru kama mnavyopendekeza, mtafayaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.

2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).

3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
 

Attachments

  • POLEPOLE.mp4
    489.8 KB

.. Kwanini mabadiliko yafanyike kwa HILA?

..Tume Huru ikiundwa itabidi iachane na mambo yote ya hovyo yaliyofanywa na Tume iliyopita.

..TUME HURU -- MCHAKATO HURU -- UCHAGUZI HURU.
 

NORENE ni kwaajili ya watanzania na Vyama vyote ikiwemo CCM yenyewe japo inapiganiwa na CHADEMA.
 
Umesahau kwamba, Hiyo mifumo huru unayosema ni pamoja na mabadiliko ya izo kanuni za maadili walizozisaini leo, itatakiwa ifumuliwe kukubaliana na kusainiwa upyaaa.
 
Unawezaje kusaini ili uuawe, Chadema ilimpa waraka mkubwa tu mwanaccm Kailima, alipaswa kujibu kwanza kabla Chadema hajasaini, Taarifa zinaeleza kwamba Kailima badala ya kujibu akampelekea Nchimbi.

Hatuwezi kushiriki mauaji ya Raia
 
Wakikubali maamuzi ya tume ya CCM inabatilishwa
 
Unawezaje kusaini ili uuawe, Chadema ilimpa waraka mkubwa tu mwanaccm Kailima, alipaswa kujibu kwanza kabla Chadema hajasaini, Taarifa zinaeleza kwamba Kailima badala ya kujibu akampelekea Nchimbi.

Hatuwezi kushiriki mauaji ya Raia
Uko sahihi kabisa, nilkuwa najaribu kuwaza hawa CCM walivyo washenzi wanawza kuleta geresha kama hiyo!
Maana lengo la chadema ni kushiriki kuoindoa ccm, ...........................anyway haya mambo yanachanganya.

Sasa ni wazi hatushiriki, what next then? Nilikuwa na mawazo kuwa unasaini, then motto wa NO REFORM NO ELECTION unaendelea.
 


Hivi unaelewa hata ulichokouliza.

Tume iliyopo siyo tume huru. Mifumo ikibadilishwa, ikapatikana Tume huru, kila kitu kitaanza upya kwa sababu kilichosimamiwa na batili kinakuwa ni batili.
 
Unajua chochote kuhusu uchaguzi huru, wa haki na wa kuaminika?
Umenielewa? suppose wanakubali matakwa ya chadema, what next na hukusaini? Labda kama na hizo kanuni ni moja wapo ya madai ya chadema, then they are right kutosaini!
 
Timu mbowe wana akili sana ndio maana walikua wanaikabia juu serikali..Mwacheni mbowe aonekane pandikizi ila alikuwa anaona mbali sana!
 
Pia CHADEMA kupitia NO REFORM NO ELECTION itakuwa imefanikiwa kuandaa mazingira mazuri ya 2030.
 
kwani si wamekataa sasa maswali ya nini hawataki basi ni haki yao na chama chao,nyinyi endeleeni
 
Umenielewa? suppose wanakubali matakwa ya chadema, what next na hukusaini? Labda kama na hizo kanuni ni moja wapo ya madai ya chadema, then they are right kutosaini!
umeshaambiwa hawaruhusiwi kushiriki uchaguzi wowote hadi 2030 hizi suppose suppose sijui nini zinatokea wapi?
vyama vipo 19 na 18 vimesaini sasa shida iko wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…