King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mkurugenzi wa uchaguzi ni SISIEMU Duuuuuuuhhhhh!!!!
Mkurugenzi wa uchaguzi ni SISIEMU Duuuuuuuhhhhh!!!!
Mkuu,1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.
2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).
3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Sio lazima cdm ishiriki, muhimu ni chaguzi za haki. Ni wendawazimu kujaza kushiriki kwenye fomu ya maadili, wakati tume haina maadili. Kama kikwazo cha mabadiliko ni uwepo wa cdm, basi hata ingesaini kusingekuwa na mabadiliko.1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.
2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).
3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Ujinga wako upo katika andiko lako namba 2. Watanzania tumejitoa ufahamu na kuamini kama CCM ndio muamuzi wetu kwa kila jambo1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.
2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).
3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Issue kubwa ilikuwa ni wateule wa rais kusimamia uchaguzi. Sasa wote wanaondolewa na wanachaguliwa kwa usaili kama ilivyo Kenya na hujasaini................ au na kanuni was one of the demands. Najua kanuni zina mapungfu lakini siyo detrimental kama wateule.................. (au zina include na kuwaengea wagombea wagombea wa chadema.........Hivi unaelewa hata ulichokouliza.
Tume iliyopo siyo tume huru. Mifumo ikibadilishwa, ikapatikana Tume huru, kila kitu kitaanza upya kwa sababu kilichosimamiwa na batili kinakuwa ni batili.
matusi ya nini? Nadhani unaweza kujibu bila matusi......muulize mama yako kama mimi ni mjingaUjinga wako
Watakwambia kuwa havyo vinabadilika lakini hukusaini......Mkuu,
Hivi huelewi kuwa reforms za kweli zinatakiwa kuanzisha kila kitu upya, tume itavunjwa iundwe upya, mpaka hayo maadili mchakato wa kuyaweka utaanza upya?
Hili nalo huelewi?
Sehemu ya mabadiliko yanayodaiwa ni kuivunja tume ya uchaguzi na kuvunja hizo habari zote za maadili zianze upya alif kwa ujiti.Watakwambia kuwa havyo vinabadilika lakini hukusaini......
Mamlaka halali ya CCM ni kuruhusu mchakato shirikishi wa mabadiliko ya kikatiba na kisheria (sio kuweka mifumo ya uchaguzi). Mchakato shirikishi ni time consuming—hauwezi kufanyika na kukamilika haraka kiasi cha kuwezesha General Election kufanyika kama ilivyopangwa.1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.
2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).
3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Huu utakua uroho wa madaraka kwann tusiwaache waliopo pia wakiwa na sheria nzuri za uchaguzi huru na haki kwasababu ndo kitu tunachopambania alafu 2030 sisi tutashiriki. Kiu yetu iwe sheria nzuri sio lazma ss tushiriki.Umesahau kwamba, Hiyo mifumo huru unayosema ni pamoja na mabadiliko ya izo kanuni za maadili walizozisaini leo, itatakiwa ifumuliwe kukubaliana na kusainiwa upyaaa.
Reforms zinatakiwa kuanza kabla ya mchakato, yaani hata hayo maadili yalitakiwa kufanyiea reforms.1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.
2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).
3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Issue kubwa ilikuwa ni wateule wa rais kusimamia uchaguzi. Sasa wote wanaondolewa na wanachaguliwa kwa usaili kama ilivyo Kenya na hujasaini................ au na kanuni was one of the demands. Najua kanuni zina mapungfu lakini siyo detrimental kama wateule.................. (au zina include na kuwaengea wagombea wagombea wa chadema.........
Watashiriki chaguzi zote zijazo kwa tume hiyo guru. Lkn kwakuwa itakuwa imetolewa kwa hila, basi CCM wataifuta na kurudisha ya zamani. Huyo mpe yule mruke......1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.
2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).
3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
ccm na Tumeccm wanabaka uhuru wa kuchagua
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.