PreGE2025 Swali kwa CHADEMA: Suppose kesho CCM for that matter serikali inaamua kuweka tume huru kama mnavyopendekeza, mtafayaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi unaelewa hata ulichokouliza.

Tume iliyopo siyo tume huru. Mifumo ikibadilishwa, ikapatikana Tume huru, kila kitu kitaanza upya kwa sababu kilichosimamiwa na batili kinakuwa ni batili.
uNAELEWA MAANA YA SUPPOSE?
 
Umenielewa? suppose wanakubali matakwa ya chadema, what next na hukusaini? Labda kama na hizo kanuni ni moja wapo ya madai ya chadema, then they are right kutosaini!
Unadhani utekelezaji wa matakwa ya Chadema utachukua miezi 5?
 
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.

2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).

3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Kumbe CCM ndiyo inayosimamia mfumo wa Uchaguzi...basi CHADEMA wana haki ya kupiga kelele!
 
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.

2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).

3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Kwa nini tume ibadilishwe?
Jibu ni kwa sababu ilikuwa batili.
Je,jambo lililo wekwa na tume batili kinaweza kikawa halali?
Jibu ni hapana.
 
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.

2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).

3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Watakuwa malaika kwelikweli, na kwa umalaika huo watafuta pia haya maigizo yanayoitwa maadili! Maadili gani wanayo?
 
.. Kwanini mabadiliko yafanyike kwa HILA?

..Tume Huru ikiundwa itabidi iachane na mambo yote ya hovyo yaliyofanywa na Tume iliyopita.

..TUME HURU -- MCHAKATO HURU -- UCHAGUZI HURU.
Tume huru lazima iendane na mabadiliko ya sheria ambazo haziwezi kubadilishwa kwa usiku mmoja.
 
Uko sahihi kabisa, nilkuwa najaribu kuwaza hawa CCM walivyo washenzi wanawza kuleta geresha kama hiyo!
Maana lengo la chadema ni kushiriki kuoindoa ccm, ...........................anyway haya mambo yanachanganya.

Sasa ni wazi hatushiriki, what next then? Nilikuwa na mawazo kuwa unasaini, then motto wa NO REFORM NO ELECTION unaendelea.
Kuiondoa ccm sio leo wala kesho labda ziletwe kura za kielectronics kwa sasa ni kujidanganya, na huo muda utafika wenyewe ccm wataona aibu watakuwa hawana namna.
 
Hata chadema wangesaini na kushiriki huo uchaguzi hakuna. Mtanzania angepiga kura
 
Uchaguzi sio jambo la kuviziana ,unaweka tume huru baada ya kuona umebaki na vyama vya mfukoni.

Hii nchi sio ya ccm ,wala tume , sasa watajua hawajui , mpaka sasa hakuba uchaguzi asema Bwana
Walivyo wa ajabu hivyo vyama mshezi vitapewa kura za mezani za wabunge na madiwani subiri muone maajabu zaidi.
 
Unawezaje kusaini ili uuawe, Chadema ilimpa waraka mkubwa tu mwanaccm Kailima, alipaswa kujibu kwanza kabla Chadema hajasaini, Taarifa zinaeleza kwamba Kailima badala ya kujibu akampelekea Nchimbi.

Hatuwezi kushiriki mauaji ya Raia
Ni Bora wasioelewa NRNE waendelee na UCHAGUZI ila vyama mbadala msije lia baada ya UCHAGUZI.
 
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.

2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).

3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?

Watajitokeza kwa wingi kuwapigia kura za Hapana wagombea wote wa CCM kuhakikisha wanakosa sifa .
Tume huru lengo lake sio kushinda uchaguzi kwa Chandema peke yao bali ni kuheshimiwa kwa maamuzi ya wapiga kura.

Tume huru wabunge wote watahaha na madiwani wao.
Mpaka sasa CCM wamehonga pesa nyingi wanachotaka ni kupata nafsi ili wakarudishe pesa zao kwa hiyo kwa sasa tume huru haiwezekani labda Mungu mkuu aamue ugomvi kabla ya uchaguzi huu
 
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.

2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).

3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Umewaza kitoto Sana.
 
Hata isiposhiriki uchaguzi ila itakuwa imewafanyia watanzania Jambo kubwa Sana litakalowezesha chaguzi zote zijazo kuwa huru na na haki. Haina maana kushiriki uchaguzi ambao unajua fika kuwa hautatangazwa mshindi hata kama umeshinda.
 
Back
Top Bottom