- Thread starter
- #41
Watashiriki chaguzi zote jazo kwa time hiyo guru. Lkn kwakuwa itakuwa imetolewa kwa hila, basi CCM ways futa na kuridhisha ya zamani. Huyo mpe yule mruke......
Fine, lkn Anna Tibaijuka alisema kuwa let us make our demands in peace meal. Alisema dunia nzima inafanya hivyo. Tukipata watendaji wa tume walio huru, si wateule wa rais/ccm/chadema/TLP etc etc, then we move to hizi kanuni etc etc.. Kwanini mabadiliko yafanyike kwa HILA?
..Tume Huru ikiundwa itabidi iachane na mambo yote ya hovyo yaliyofanywa na Tume iliyopita.
..TUME HURU -- MCHAKATO HURU -- UCHAGUZI HURU.