1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Walivyo wa ajabu hivyo vyama mshezi vitapewa kura za mezani za wabunge na madiwani subiri muone maajabu zaidi.
Itakua ni vizuri sana .
Kila jambo linalotokea sasa chini ya udhalimu wa watawala Lina sababu zake katika ulimwengu wa Roho .
CCM walimdhaki sana Mungu na hata kuwaita watawala mh. Mungu .Lakini pia wakasema ushindi na kuwatawala watanzania sio suala la Mungu Kupenda bali ni lazima .
Sasa ni hivi, wakiwapa wapinzani uchwara majimbo ya bure ujue 2030 hawawezi kuyakomboa tena .
Chama atapata majimbo ya CCM kirahisi na kuwachia wapinzani uchwara majimbo yao . CCM itakua chama kikuu cha upinzani kwani Chadema itapata kura nyingi sana vijana watapiga kura wakiwa na Imani na kura zao.