PreGE2025 Swali kwa CHADEMA: Suppose kesho CCM for that matter serikali inaamua kuweka tume huru kama mnavyopendekeza, mtafayaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu,

Hivi huelewi kuwa reforms za kweli zinatakiwa kuanzisha kila kitu upya, tume itavunjwa iundwe upya, mpaka hayo maadili mchakato wa kuyaweka utaanza upya?

Hili nalo huelewi?
 
Sio lazima cdm ishiriki, muhimu ni chaguzi za haki. Ni wendawazimu kujaza kushiriki kwenye fomu ya maadili, wakati tume haina maadili. Kama kikwazo cha mabadiliko ni uwepo wa cdm, basi hata ingesaini kusingekuwa na mabadiliko.
 
Ujinga wako upo katika andiko lako namba 2. Watanzania tumejitoa ufahamu na kuamini kama CCM ndio muamuzi wetu kwa kila jambo
 
Hivi unaelewa hata ulichokouliza.

Tume iliyopo siyo tume huru. Mifumo ikibadilishwa, ikapatikana Tume huru, kila kitu kitaanza upya kwa sababu kilichosimamiwa na batili kinakuwa ni batili.
Issue kubwa ilikuwa ni wateule wa rais kusimamia uchaguzi. Sasa wote wanaondolewa na wanachaguliwa kwa usaili kama ilivyo Kenya na hujasaini................ au na kanuni was one of the demands. Najua kanuni zina mapungfu lakini siyo detrimental kama wateule.................. (au zina include na kuwaengea wagombea wagombea wa chadema.........
 
Mkuu,

Hivi huelewi kuwa reforms za kweli zinatakiwa kuanzisha kila kitu upya, tume itavunjwa iundwe upya, mpaka hayo maadili mchakato wa kuyaweka utaanza upya?

Hili nalo huelewi?
Watakwambia kuwa havyo vinabadilika lakini hukusaini......
 
Hayo yoote uliyoandika yakitokea, kila rafu zilizofanyika kabla ya kuongia kwenye michakato ya uhuru huo watume, zitafutwa na kuanza kwa michakato yote kwa upya!


Maana hata hicho kilichofanyika leo kutia saini maadili ya uchaguzi, ni rafu zilezile za tume isiyohuru
 
Mamlaka halali ya CCM ni kuruhusu mchakato shirikishi wa mabadiliko ya kikatiba na kisheria (sio kuweka mifumo ya uchaguzi). Mchakato shirikishi ni time consuming—hauwezi kufanyika na kukamilika haraka kiasi cha kuwezesha General Election kufanyika kama ilivyopangwa.

In the unlikely event kwamba reforms zote zimewezekana ndani ya muda mfupi, kabrasha la maadili lililosainiwa automatically litakuwa limepitwa na wakati kwasababu halitaweza kuakisi matakwa mapya ya kikatiba na kisheria. Waliosaini watakuwa wamepoteza muda wao; ambao hawajasaini hawana cha kupoteza!
 
Umesahau kwamba, Hiyo mifumo huru unayosema ni pamoja na mabadiliko ya izo kanuni za maadili walizozisaini leo, itatakiwa ifumuliwe kukubaliana na kusainiwa upyaaa.
Huu utakua uroho wa madaraka kwann tusiwaache waliopo pia wakiwa na sheria nzuri za uchaguzi huru na haki kwasababu ndo kitu tunachopambania alafu 2030 sisi tutashiriki. Kiu yetu iwe sheria nzuri sio lazma ss tushiriki.
 
Reforms zinatakiwa kuanza kabla ya mchakato, yaani hata hayo maadili yalitakiwa kufanyiea reforms.

CHADEMA angesaini hayo maadili angekosea kwa maana kufanya hivyo ni angekua anakubaliana na utaratibu uliopo
 
 

Attachments

  • VID-20241205-WA0006.mp4
    29.1 MB
Mawazo ya kijingajinga kama yako hayafai, hiyo tume huru ya Uchaguzi wanaitoa kwa mshindani gani ambaye anataka hayo marekebisho?, Vyama vilivyosaini havidai hiyo tume huru wala marekebisho ya kanuni za uchaguzi!.
 
Watashiriki chaguzi zote zijazo kwa tume hiyo guru. Lkn kwakuwa itakuwa imetolewa kwa hila, basi CCM wataifuta na kurudisha ya zamani. Huyo mpe yule mruke......
 
😂😂🤭🤭 na wewe kumbe ni mjinga kiasi hiki!!, Hata huko kutia saini ambako cdm wamegomea ni sehem ya madai yao ya reforms, NEC wapo kazini hivyo kama hakuna reforms hizo ccm hawawezi kuleta tume huru.
 

Kwani hivi lini ulifanyika uchaguzia Tanganyika na Zanzibar ??

Uchaguzi upi wakati kamishna wa Tume ya Uchaguzi ni Mapuri , Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…