Swali kwa Jaji Mkuu: Je, ni haki kwa kina Rostam Aziz kutozwa faini badala ya kifungo lakini kina Mbarikiwa kupewa kifungo badala ya faini?


Unapenda Sana udini, sio vizuri.
 

Au wake masheehe wa ugaidi waliowekwa ndani na Kikwete mpaka wamekuja kutolewa juzi na mama Samiah.
 
Na huyo mchungaji alikuwa na yeye ana kitalu cha kuwindia kama Akram?

Kafungwa kwa kuwinda watu au wanyama huyo mchungaji?


Mbona huyasemi ya Tibaijuka, kapewa adhabu ya kuachoishwa kazi tu.

Andika vizuri, kuachoishwa kazi ndio Nini?
 

Mamlaka gani ya kuheshimiwa haya ya kukwapua fedha za umma kwenye ripoti za CAG, au hizi za watu wasiojulikana?. Tupunguze unafiki. Halafu tofautisha kesi ya mahakamani na kuupinga serikali.
 
Mamlaka gani ya kuheshimiwa haya ya kukwapua fedha za umma kwenye ripoti za CAG, au hizi za watu wasiojulikana?. Tupunguze unafiki. Halafu tofautisha kesi ya mahakamani na kuupinga serikali.
Wewe mvimbishe kichwa tu, wewe sasa hivi upo nyumbani na mkeo, mwenzio tunavyozungumza kashaambulia miaka 3 tayari ya lupango!
 

Umejaza ma theory kutoka google. Wakati mahakimu wanafanya ujinga unaoonekana. Kuna hakimu Arusha alimuweka Lema ndani miezi SITA bila dhamana, Hadi mahakama kuu ikaingilia kati na kumpa Lema dhamana. Mahakimu wa Tanzania wanapenda kuwashughulikia wapinzani au wakosoaji wa serikali ili kesho wapewe ujaji.
 
Hivi Jaji Mkuu yupo? Nchi ngumu sana na huyo mwenye bunduki zaidi ya arobaini kuna mnyama atakayebaki kweli ukichanganya na yule mzee maarufu wa kontena la pembe!!!
 
So anakomolewa na Sio kwa sababu ni sheria
 
Unajua kwanini sheria ni noble profession? Anyway

Kuna mambo hayaitaji huo unoble, yanahitaji macho ya kuona tu. Haki siyo tu ifanyike, Bali ionekane imefanyika. Sasa wewe Kaa na ma theory yako wakati huku haki hamana na haionekani ikifanyika.
 
Hivi Jaji Mkuu yupo? Nchi ngumu sana na huyo mwenye bunduki zaidi ya arobaini kuna mnyama atakayebaki kweli ukichanganya na yule mzee maarufu wa kontena la pembe!!!

Jaji mkuu hawezi kufanya kitu amefungwa mikono, maana muda wake wakistaafu umefika ila serikali ndio imemuongezea muda wa kukaa madarakani.
 
[/QUOT in Pesa inatafutwa kwa njia ngumu sana tuliokuwepo kwenye system ndio tunajua. Na kipinde kile watu walifanya mambo ya kutisha sio poa aisee. Lakini mwisho wa siku wakarudisha mpira golini. Hela haizunguki alio waamini akawapa nafasi. Walikuwa wana Siphon hela nje na hawakuwa na acumen ya biashara. Ajira hazitengezwi mwisho wa siku Rostam akaja kuokoa jahazi. Tukaanza ku export gas Kenya na Uganda.
 
Acha urongo! Mpaka Rais Ruto anaingia madarakani Rostam alikuwa hajaanza kufanya biashara na Kenya.
 
Issue ya Kibwetere ni tofauti na ya Mbarikiwa. Ukweli toka tumekuwa na huyu Jaji mkuu hadhi ya mahakama ni kama imeshuka sana,na ukute ndo sababu hata wenzie wanapinga kuongezewa muda kinyume na kanuni za utumishi.
Ni kipindi chake huyu tumeshuhudia mahakama zikitumika kisiasa mnoo. Pengine ndo sababu alikaimu muda mrefu kabla ya kuthibitishwa kuwa CJ tofauti na watangulizi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…