Swali kwa Jaji Mkuu: Je, ni haki kwa kina Rostam Aziz kutozwa faini badala ya kifungo lakini kina Mbarikiwa kupewa kifungo badala ya faini?

Swali kwa Jaji Mkuu: Je, ni haki kwa kina Rostam Aziz kutozwa faini badala ya kifungo lakini kina Mbarikiwa kupewa kifungo badala ya faini?

1 Wakorintho 11:
17 Lakini katika kuagiza haya, siwasifu, ya kwamba mnakusanyika, si kwa faida bali kwa hasara.
18 Kwa maana kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu; nami nusu nasadiki;
19 kwa maana lazima kuwapo na uzushi kwenu, ili waliokubaliwa wawe dhahiri kwenu.

Unapenda Sana udini, sio vizuri.
 
Sasa faini ya millioni 259 ndogo hiyo?

Makosa yenyewe alibambikiwa tu huyo.

Huyo hata akiwa na bunduki 50 ni sawatu, ana vitalu vya kuwinda huyo, biashara yake bila bunduki atawindisha watu kwa manati?

Halafu kesi ya enzi za mwendazake mmeileta leo.


Angelambwa jela mama tibaijuka akasote na kina Ruge na Singa pesa walizogawana, ndiyo ungeongea vizuri.

Au wake masheehe wa ugaidi waliowekwa ndani na Kikwete mpaka wamekuja kutolewa juzi na mama Samiah.
 
Na huyo mchungaji alikuwa na yeye ana kitalu cha kuwindia kama Akram?

Kafungwa kwa kuwinda watu au wanyama huyo mchungaji?


Mbona huyasemi ya Tibaijuka, kapewa adhabu ya kuachoishwa kazi tu.

Andika vizuri, kuachoishwa kazi ndio Nini?
 
Tofauti ya kesi hizo mbili ni kuwa Akramu hakushindana/kutunishia serikali misuli kama Mbarikiwa alivyo kuwa anafanya hivi karibuni kwenye mitandao. Yeye Mbarikiwa ni Mchungaji ila kaweka maandiko ya kuheshimu mamlaka kando. Kwa utaratibu huo ataanza kujifunza. Ajifunze kwa Kakobe na Muhingira!

Mamlaka gani ya kuheshimiwa haya ya kukwapua fedha za umma kwenye ripoti za CAG, au hizi za watu wasiojulikana?. Tupunguze unafiki. Halafu tofautisha kesi ya mahakamani na kuupinga serikali.
 
Mamlaka gani ya kuheshimiwa haya ya kukwapua fedha za umma kwenye ripoti za CAG, au hizi za watu wasiojulikana?. Tupunguze unafiki. Halafu tofautisha kesi ya mahakamani na kuupinga serikali.
Wewe mvimbishe kichwa tu, wewe sasa hivi upo nyumbani na mkeo, mwenzio tunavyozungumza kashaambulia miaka 3 tayari ya lupango!
 
Sio kwa ubaya, ila the way mods wanavokuwa strict kwenye suala la mijadala inayohusu dini na imani za watu basi na hili la sheria inatakiwa liangaliwe kwa jicho la tatu.
Sio afya kuachia mjadala wa kisheria kwa watu ambao majority hawajui sheria, ni kuibua taharuki isiokua na ulazima.

Ngoja tupate maarifa kidogo kuhusu "Sentencing" kulingana na kesi husika.

general principles of sentencing..

1. The gravity of the offence, including the degree of culpability of the offender. In considering the seriousness of the offence, the court should look at the nature of the offence and circumstances under which it was committed, the offender and the victim;

2.Impact of the offence on an individual victim or the community as a whole;

3. The offender’s personal, family, community, or cultural background

Sentencing Process

In exercising its sentencing powers, the court shall consider as far as practicable, the accused’s personal circumstances, any other offences committed by accused, totality principle, co-accused’s sentence, any co-operation with authorities and information from the victim.

Having determined the overall seriousness of the offence, the court should consider the following:

The accused’s personal circumstances;

The financial circumstances of the accused if the court is contemplating imposing a fine or other financial orders;​
If the accused has provided any assistance or co-operation to the authorities after his arrest which has assisted in the investigation or disruption of criminal activity;​
The family circumstances of the accused and likely impact of sentence on dependants;​
Offender’s age, mental health or physical disability;​

GUIDANCE ON DIFFERENT TYPES OF SENTENCES

1. Death
A death sentence cannot be imposed upon a pregnant woman and a person who at the time of commission of the offence was under 18 years of age.

2. Imprisonment
Since a custodial sentence involves curtailment of one’s freedom, such
sentence
should be passed as a matter of last resort unless the law requires otherwise. Where the law provides for a sentence of imprisonment, accused person may be sentenced to pay a fine in addition to, or instead of imprisonment.

Furthermore, a custodian sentence should not be imposed on the accused on account of his good financial standing on the basis that
if a fine were to be imposed, he would be able to pay it easily.
In case the law provides for a sentence of imprisonment and an option of a fine, a first offender should be sentenced to a fine save where the offence is grave or widespread in the area.

3. Fine
Where a fine is imposed under any law, in the absence of express provisions relating to that fine, the following should be taken into account:

(a) the capacity of the accused to pay the fine must be considered along with the gravity of the offence;

(b) if no sum is expressed to which the fine may be extended, the fine which
may be imposed is unlimited but shall not be excessive; or

(c) the fine should be one which an accused person can reasonably be
expected to pay.

Where an offence may be punishable by a fine and/or imprisonment, the decision is a matter for the discretion of the court.
Where the statutory provision creating an offence explicitly mentions both imprisonment and fine as methods of punishment, this indicates that a fine has been envisaged by the legislature as the principal mode of punishment, and imprisonment should not
normally be passed
.

If an offence has a mandatory sentence of a fine (e.g., wildlife offences based on the value of the item), then this must be imposed.

Mama Amon

Umejaza ma theory kutoka google. Wakati mahakimu wanafanya ujinga unaoonekana. Kuna hakimu Arusha alimuweka Lema ndani miezi SITA bila dhamana, Hadi mahakama kuu ikaingilia kati na kumpa Lema dhamana. Mahakimu wa Tanzania wanapenda kuwashughulikia wapinzani au wakosoaji wa serikali ili kesho wapewe ujaji.
 
Hivi Jaji Mkuu yupo? Nchi ngumu sana na huyo mwenye bunduki zaidi ya arobaini kuna mnyama atakayebaki kweli ukichanganya na yule mzee maarufu wa kontena la pembe!!!
 
Tofauti ya kesi hizo mbili ni kuwa Akramu hakushindana/kutunishia serikali misuli kama Mbarikiwa alivyo kuwa anafanya hivi karibuni kwenye mitandao. Yeye Mbarikiwa ni Mchungaji ila kaweka maandiko ya kuheshimu mamlaka kando. Kwa utaratibu huo ataanza kujifunza. Ajifunze kwa Kakobe na Muhingira!
So anakomolewa na Sio kwa sababu ni sheria
 
Unajua kwanini sheria ni noble profession? Anyway

Kuna mambo hayaitaji huo unoble, yanahitaji macho ya kuona tu. Haki siyo tu ifanyike, Bali ionekane imefanyika. Sasa wewe Kaa na ma theory yako wakati huku haki hamana na haionekani ikifanyika.
 
Hivi Jaji Mkuu yupo? Nchi ngumu sana na huyo mwenye bunduki zaidi ya arobaini kuna mnyama atakayebaki kweli ukichanganya na yule mzee maarufu wa kontena la pembe!!!

Jaji mkuu hawezi kufanya kitu amefungwa mikono, maana muda wake wakistaafu umefika ila serikali ndio imemuongezea muda wa kukaa madarakani.
 
[/QUOT in
Akram akikaa ndani miezi mitatu.
Alipotoka akampigia saluti Mwamba JPM.
"Sikuwahi kuamini katika nchi hii kwamba ningewahi kulala korokoroni hata siku moja, lakini chini ya Rais Magufuli imetokea," alisema Akram.
Magufuli ilikuwa namba nyingine.
Hakuwa anaabudu wenye mali hata siku moja.
Pesa inatafutwa kwa njia ngumu sana tuliokuwepo kwenye system ndio tunajua. Na kipinde kile watu walifanya mambo ya kutisha sio poa aisee. Lakini mwisho wa siku wakarudisha mpira golini. Hela haizunguki alio waamini akawapa nafasi. Walikuwa wana Siphon hela nje na hawakuwa na acumen ya biashara. Ajira hazitengezwi mwisho wa siku Rostam akaja kuokoa jahazi. Tukaanza ku export gas Kenya na Uganda.
 
[/QUOT in
Pesa inatafutwa kwa njia ngumu sana tuliokuwepo kwenye system ndio tunajua. Na kipinde kile watu walifanya mambo ya kutisha sio poa aisee. Lakini mwisho wa siku wakarudisha mpira golini. Hela haizunguki alio waamini akawapa nafasi. Walikuwa wana Siphon hela nje na hawakuwa na acumen ya biashara. Ajira hazitengezwi mwisho wa siku Rostam akaja kuokoa jahazi. Tukaanza ku export gas Kenya na Uganda.
Acha urongo! Mpaka Rais Ruto anaingia madarakani Rostam alikuwa hajaanza kufanya biashara na Kenya.
 
Eti mbarikiwa? Mbarikiwa wa nini? Huyo mtu ni mwehu na anatengeneza "cult" ya wehu. Naipongeza Serikali kwa hatua madhubuti waliochukua. Naye Kibwetere alianza hivihivi akawateka watu kwa kusingizia dini kisha akawachoma moto.

Tusije ilaumu Serikali baadaye kwa kuendeleza vidhehebu uchwara
Issue ya Kibwetere ni tofauti na ya Mbarikiwa. Ukweli toka tumekuwa na huyu Jaji mkuu hadhi ya mahakama ni kama imeshuka sana,na ukute ndo sababu hata wenzie wanapinga kuongezewa muda kinyume na kanuni za utumishi.
Ni kipindi chake huyu tumeshuhudia mahakama zikitumika kisiasa mnoo. Pengine ndo sababu alikaimu muda mrefu kabla ya kuthibitishwa kuwa CJ tofauti na watangulizi wake.
 
Back
Top Bottom