Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Amen,,kila lenye Kheri Likutangulie Katika afya ya Mifupa,, Damu na Nyama na harakati za Maisha yako ya kila siku.Kind of research mkuu, naona mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen,,kila lenye Kheri Likutangulie Katika afya ya Mifupa,, Damu na Nyama na harakati za Maisha yako ya kila siku.Kind of research mkuu, naona mengi.
Ushauri wa kijana lainiTulia na mkeo, unajitaftia matatizo tu. Utafalakanisha Familia yako, Vipi mkuu maokoto yameongezeka nini unakosa pakuyaweka. Mke wa pili huwa anakuja kufilisi, Hebu rudi utafakari sana kwa nini unataka kuoa mke wa pili? Mkeo anamapangufu ngani hadi umletee mke wa pili? Kama ameelemewa na majukumu mtafutie house Girl. Utapigwa na kitu kizito shauri yako.
mimi nina ndugu yangu ni mkristo kama wewe ila ana kimada sasa kwanini asioe tu1. Unasilimu
2. Unamsomea Aya ya dini.
3. Unamwongezea wengine wawili
4. Jumla wanne.
Ni kusanue wanawake wote dunia hii akili zao ni moja na mwalimu wao ni ccm alifia tawi la lumumba.Nafanya research hapa mkuu, wanawake wa siku hizi wanafanyakazi wanalalamika kuchoka.
Sasa wanaume umri unapozidi na nyege ndio zinazidi, alfajiri mwanamke kashaamka anajiandaa kwenda kazini.
Sasa hapa research lazima ifanyike solution ni kuwa na mke zaidi ya mmoja? Atleast hawa watashindana kumuhudumia mwanaume.
Hii haiwahusu wanaume wanaojitafuta au wanaoungaunga, kuna watu wameshajipata ila wanawake wanazinguwa mwanaume anapewa uchi kwa mgao, solution ni nini?
Keyboard warriorMwanaume ukiwa strong na mwenye msimamo mwanamke atakuheshimu, akikuheshimu atakupenda,ataheshimu mawazo yako. na utakua mtu wa mwisho katika maamuzi(neno lako ndio sheria ya familia)
Sasa basi ikifika wakati wa kuongeza mke wa pili, hutakiwi kwenda kumuomba ruksa, bali ni kumpa taarifa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unampelekea moto usiku kucha mwenyewe atakuamvia oa mwingne[emoji3]
Mwanaume ukiwa strong na mwenye msimamo mwanamke atakuheshimu, akikuheshimu atakupenda,ataheshimu mawazo yako. na utakua mtu wa mwisho katika maamuzi(neno lako ndio sheria ya familia)
Sasa basi ikifika wakati wa kuongeza mke wa pili, hutakiwi kwenda kumuomba ruksa, bali ni kumpa taarifa tu.
Na baada ya harusi,Mume asisahau kuwasisitiza wahudhuriaji kua Nikifa MkeWangu AsioleweHaambiwi kitu ila ata jua mwenyew na akikuuliza muulize nani kukwambia?
Kama humleti hapo home atakuja sanuka Tyr una miezi kadhaa. Yaani unakuwa busy kama kuku anayetaka kutaga
"Atafanya nini kupoza maumivu yake" Imekaa kiutu uzima sanaUshawahi kujiuliza kwa nini wamama wa kambo walikuwa ni wakatili sana kwa watoto wa waume zao Ila wanaweza kuwa malaika kwa watoto wa mtaani?...
Jibu ni roho mbaya binafsi lakini kubwa zaidi ni roho ya kisasi kwa mume wake.
Kiuhalisia mkuu kama wewe unavyohisi haiwezekani kusaidiwa na wanawake ni hivyo hivyo Ila mila na dini ziliwanyamazisha. Ila kwa hawa independent ladies, labda awe ana misingi kweli kweli la sivyo. Hiyo siku unatambulisha mwanamke mpya, weka akilini kuwa mkeo hatokuangalia kwa picha ileile katika macho yake na huwezi jua "atafanya nini kupoza maumivu yake"