Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?

Ushauri wa kijana laini
 
Ni kusanue wanawake wote dunia hii akili zao ni moja na mwalimu wao ni ccm alifia tawi la lumumba.
ijalishi ni mzungu,muwafrika,kabila,dini au elimu.
kila mwanamke anataka kuwa peke yake sio kushare na hawa kusema sijui dini zao ndio zinaruhusu azijawai kukaa sawa tena huko mbeleni kwenye familia yani utaacha chuki kati ya pande mbili au nazengine mfano umeoa mke wa kwanza upande wa mke huyo watoto wanakuwa wenye mafanikio au ni jinsia moja alafu upande mwingine ukawa tofauti hapo kazi unayo.

wanawake wengi kupendana ni ngumu na ukiwa maskini utakoma au tajiri ukifanya hivo umekaribisha wao kukuona wanapita au uegemee upande mmoja.

kifo kitakuita
 
Mwanaume ukiwa strong na mwenye msimamo mwanamke atakuheshimu, akikuheshimu atakupenda,ataheshimu mawazo yako. na utakua mtu wa mwisho katika maamuzi(neno lako ndio sheria ya familia)

Sasa basi ikifika wakati wa kuongeza mke wa pili, hutakiwi kwenda kumuomba ruksa, bali ni kumpa taarifa tu.

Sasa maamuzi itakua juu yake akubali, akatae mke wa pili anaolewa.

Inakua ni kama enzi za uchaguzi kupindi cha mzee Nyerere, kwenye karatasi la kupigia kura kunakua na picha na kivuli cha picha, kwa hiyo mchaguaji unakua wewe tu, ukichagua picha umemchagua Nyerere na hata kama ukisema ujitie kidole ukachagua kivuli, bado pia utakua umemchagua Nyerere.
 
Keyboard warrior
 
They do not need the first wife's permission to marry but what they cannot do is lie to their wife or hide
the second wife, this is
haram and going against the wife's rights in Islam.

A husband is not allowed to lie to his wife therefore keeping a second wife is haram as it would involve lieing to her and deception.
 

Ushawahi kujiuliza kwa nini wamama wa kambo walikuwa ni wakatili sana kwa watoto wa waume zao Ila wanaweza kuwa malaika kwa watoto wa mtaani?...

Jibu ni roho mbaya binafsi lakini kubwa zaidi ni roho ya kisasi kwa mume wake.

Kiuhalisia mkuu kama wewe unavyohisi haiwezekani kusaidiwa na wanawake ni hivyo hivyo Ila mila na dini ziliwanyamazisha. Ila kwa hawa independent ladies, labda awe ana misingi kweli kweli la sivyo. Hiyo siku unatambulisha mwanamke mpya, weka akilini kuwa mkeo hatokuangalia kwa picha ileile katika macho yake na huwezi jua "atafanya nini kupoza maumivu yake"
 
"Atafanya nini kupoza maumivu yake" Imekaa kiutu uzima sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…