Anahangaika mno. A dying horse!Magufuli namuonea huruma kiukweli
TBC wanabalansi stori? Kwangu ni lazima kila mtu atangaze ma u pupu yenu?Mbona radio zinazotangaza kwa kiswahili huko japan zinabalance story?
Ukisikia mtu anaambiwa ana akili za kuendea chooni tu basi ndio hizi 😁😁!Tena maamuzi haya yalipaswa yafanywe mapema zaidi, maana Kama wanatumia vyombo vya habari za kimataifa Bora tubaki na RTD tu hakuna namna😂🤣😂! Hakuna kucheka na nyani😠! Msioweza kuishi bila hivyo vyombo vya habari vya nje nendeni huko xilipo mzifuate!
Wakiwamaliza wapinzani wotee watahamia uko uko kwa ccm wenzenu iyo ndo zambi ya ubaguzi haiach mtu kama mla nyama za watu akianza kula kidog tu utamu wake hauchoshi,wakiisha wapinzani na tusio na vyama watahamia kwa ccm wa kisukuma,wagogo na wamakonde amka mkuu.Mbona radio zinazotangaza kwa kiswahili huko japan zinabalance story?
Nashangaa sana kama vilikuwa vinarusha matangazo bila vibali.Tena maamuzi haya yalipaswa yafanywe mapema zaidi, maana Kama wanatumia vyombo vya habari za kimataifa Bora tubaki na RTD tu hakuna namna😂🤣😂! Hakuna kucheka na nyani😠! Msioweza kuishi bila hivyo vyombo vya habari vya nje nendeni huko xilipo mzifuate!
Propaganda na ukweli halisi unaenda kujitenga hofu ya kufichuliwa uongo na madudu.Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini?
Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC, Meza ya duara ya DW na habari za ulimwengu za VOA hatutazisikia tena hadi kibali kutoka TCRA? Ujinga gani huu?
Halafu hizi radio za nje zinazotangaza kwa kiswahili zimesaidia sana kukuza Kiswahili kimataifa. Zilianza BBC, DW na VOA lakini leo radio zenye idhaa ya Kiswahili ni nyingi sana duniani. Radio Japan, Radio Tehran, Radio China International, Idhaa ya Kiswahili ya umoja wa mataifa, Radio France Internationale etc.
Na watanzania wengi wamepata ajira kwenye vyombo hivi vya habari. Kupitia radio hizi Kiswahili kinasikilizwa sana nchi za jirani. Nenda Burundi uone watu wanavyosikikiza matangazo ya mchana ya DW, nenda Uganda uone watu wanavyosikiliza Dira ya dunia ya BBC. Kiswahili kinakua sana. Lakini leo kwa sababu ya ubinafsi tunazuia vyombo hivyo kusikika hapa nchini. Tunataka watu wote wasikilize kuhusu reli ya SGR na Flyover za Ubungo.
Hii si sawa hata kidogo. Tunakoelekea ni pabaya sana. Dalili mojawapo ya kupoteza uhuru wa habari ni kulazimisha kila mtu asikilize mawazo yako, na kukataa kusikiliza mawazo mbadala. Tuendelee kukaa kimya hadi siku tutakayoambiwa huruhusiwi kukohoa hadi kibali cha Muhimbili. Labda ndo tutapata akili.!
Hiyo ni lazima, cha muhimu ni kujua tu watakapofungia tuhamie wapi. Wakati ule wa mizengwe tulihamia kenya talk.
kuukimbiza upepo tu still habari zinafika ,hatupo kwenye zama za ujimaTena maamuzi haya yalipaswa yafanywe mapema zaidi, maana Kama wanatumia vyombo vya habari za kimataifa Bora tubaki na RTD tu hakuna namna😂🤣😂! Hakuna kucheka na nyani😠! Msioweza kuishi bila hivyo vyombo vya habari vya nje nendeni huko xilipo mzifuate!
We unaota ndoto za mchana🤣😂🤣!
We endelea kuota ndoto, usiote tu unakunya😂🤣😂!