Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inasikitisha sana, hivi sababu ya Msingi ni ipi hasa, maana nilishtuka sana nilivyosikia taarifa hiiHofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini?
Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC, Meza ya duara ya DW na habari za ulimwengu za VOA hatutazisikia tena hadi kibali kutoka TCRA? Ujinga gani huu?
Halafu hizi radio za nje zinazotangaza kwa kiswahili zimesaidia sana kukuza Kiswahili kimataifa. Zilianza BBC, DW na VOA lakini leo radio zenye idhaa ya Kiswahili ni nyingi sana duniani. Radio Japan, Radio Tehran, Radio China International, Idhaa ya Kiswahili ya umoja wa mataifa, Radio France Internationale etc.
Na watanzania wengi wamepata ajira kwenye vyombo hivi vya habari. Kupitia radio hizi Kiswahili kinasikilizwa sana nchi za jirani. Nenda Burundi uone watu wanavyosikikiza matangazo ya mchana ya DW, nenda Uganda uone watu wanavyosikiliza Dira ya dunia ya BBC. Kiswahili kinakua sana. Lakini leo kwa sababu ya ubinafsi tunazuia vyombo hivyo kusikika hapa nchini. Tunataka watu wote wasikilize kuhusu reli ya SGR na Flyover za Ubungo.
Hii si sawa hata kidogo. Tunakoelekea ni pabaya sana. Dalili mojawapo ya kupoteza uhuru wa habari ni kulazimisha kila mtu asikilize mawazo yako, na kukataa kusikiliza mawazo mbadala. Tuendelee kukaa kimya hadi siku tutakayoambiwa huruhusiwi kukohoa hadi kibali cha Muhimbili. Labda ndo tutapata akili.!
Tbc mbona inatangaza habari zaccm tu, haibalanci story za upinzaniMfano radio ipi??
Mimi sijutii nafanya kampeni nyumba hadi nyumba tuitoe ccm ili Tanzania iongozwe na watu wenye akiliWangapi tunajuta kuwa watanzania?
Kila la kheri lakini kuwa muangalifu maana kuna segereaMimi sijutii nafanya kampeni nyumba hadi nyumba tuitoe ccm ili Tanzania iongozwe na watu wenye akili
Najiuliza tu KWANINI kusiwe na ccm tu ,nani analazimisha tuwe na vyama vingi?
Yaani kuna MANYAU yanaamin Multparty ni UHUJUMU uchumi
TBC inabalance story?Mbona radio zinazotangaza kwa kiswahili huko japan zinabalance story?
Unajua Kuna upuuzi humu ndani unaandikwa mpaka inakulazimu ujibu haraka na kuignore spelling error! Kikubwa ujumbe ufike...Samahani kwa kukukwaz... Z na X zipo jaribu Sana kwenye keyboard!Mtu mzima unatumia x kwenye maandishi, xilipo, hivi hizi akili mnaziwachaga wapi?
Una hakika? au ku-balance ina maana gani gani kwako.Na TBC kila siku inabalance stori. Nashangaa hao mabeberu.
Hiyo hiyo wanayobalance TBCUna hakika? au ku-balance ina maana gani gani kwako.
Asante kwa kuliona hili wale top 5 wao jambo lao moja. Wote ni akilitumboni.Wa kulaumiwa hapo ni vyombo vya usalama na ulinzi kwa kutoona mwelekeo wa taifa,kwa nini mtu mmoja anafanya maamuzi kinyume na katiba?
Wa kulaumiwa hapo ni vyombo vya usalama na ulinzi kwa kutoona mwelekeo wa taifa,kwa nini mtu mmoja anafanya maamuzi kinyume na katiba?
wapuuzi sana jamaa na propaganda zao za kitoto. kifupi Magu anamakosa mengi sana ambayo ni rahisi sana kumtolea credibility yake kwa wananchi. Kinachomsaidia ni huo ubabe wake wa kutumia vyombo vya usalama na kuwatisha wanahabari. And huwa najiuliza CCM na ujanja wao wote ilikuwaje wakampa nafasi jamaa wa hovyo kama huyu kugombea uraisUshoga nchi hii umeenea sana na wateja wao ni hawa hawa vigogo. Hakuna pointi hapo.