Uchaguzi 2020 Swali kwa Rais Magufuli: Hofu ya nini juu ya Vyombo vya Habari?

kambale hataki kutoka majini ila amenasa kwenye ndoano sasa mfurukuto wake ni shida, vyombo vya habari lazima vipate kibano, askari watatumwa kufanya hata yale ambayo hawakufunzwa depo, watumishi woote watafikiwa kwa kukiri hadharani kwamba wanamkubali nani kati ya hao, wakuu wa wilaya, mikoa, madasi, ma
rpc, rsco, rco, watakimbizwa mitaani kukagua kama kuna bendera za chama fulani yoote haya tutatayaona kipindi hiki na mwisho wa siku KAMBALE LITATOKA NJE YA BWAWA NA KUPIGWA NA JUA LA UTOSI
 
20200811_141542.jpg
 
Kwani wakisha apply na kupata permit kutambuliwa rasmi ujiungaji wao na media za nje si unaruhusiwa kujiunga na radio/tv zozote za nje ili ziweze kuhabarisha issues about Tanzania na dunia.
Wajisajili tu waendelee tu na uhabarishaji.
BTW Kuna BBC online, etc pia Kuna radio za nchi jirani hujiunga na hizi radio/tv washirika.

We mjinga pumbavu kabisa. Unatetea ujinga kwa kuwa kuna alternative? Kwa hiyo utaridhia mkeo apigwe miti na njemba nje kwa kuwa una option ya kulala na malaya wa kununua?
Akili za mende
 
safi sana....nawachukia sana BBC kila siku wanatuongelea negative tu.
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini?

Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC, Meza ya duara ya DW na habari za ulimwengu za VOA hatutazisikia tena hadi kibali kutoka TCRA? Ujinga gani huu?

Halafu hizi radio za nje zinazotangaza kwa kiswahili zimesaidia sana kukuza Kiswahili kimataifa. Zilianza BBC, DW na VOA lakini leo radio zenye idhaa ya Kiswahili ni nyingi sana duniani. Radio Japan, Radio Tehran, Radio China International, Idhaa ya Kiswahili ya umoja wa mataifa, Radio France Internationale etc.

Na watanzania wengi wamepata ajira kwenye vyombo hivi vya habari. Kupitia radio hizi Kiswahili kinasikilizwa sana nchi za jirani. Nenda Burundi uone watu wanavyosikikiza matangazo ya mchana ya DW, nenda Uganda uone watu wanavyosikiliza Dira ya dunia ya BBC. Kiswahili kinakua sana. Lakini leo kwa sababu ya ubinafsi tunazuia vyombo hivyo kusikika hapa nchini. Tunataka watu wote wasikilize kuhusu reli ya SGR na Flyover za Ubungo.

Hii si sawa hata kidogo. Tunakoelekea ni pabaya sana. Dalili mojawapo ya kupoteza uhuru wa habari ni kulazimisha kila mtu asikilize mawazo yako, na kukataa kusikiliza mawazo mbadala. Tuendelee kukaa kimya hadi siku tutakayoambiwa huruhusiwi kukohoa hadi kibali cha Muhimbili. Labda ndo tutapata akili.!
 
Watahangaika sana kama mtetea anaetaka kutaga.......................... halali hali wala hapumui haamini anachokiona bado. Yeye anadhani ni kila mtu mwoga wa kufa aangalie watu kibao wako wapi?
 
Miaka 5 unaongea wewe tu, wananchi washakuchoka wanataka kuwasikia na wengine wanasema nini - hujijui?

Bora iwe mitano angee la msingi zaidi zaidi anaongea vepa full... na kitu kile kile na kuona yeye ni mtakatifu
 
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini?
....
Hii si sawa hata kidogo. Tunakoelekea ni pabaya sana. Dalili mojawapo ya kupoteza uhuru wa habari ni kulazimisha kila mtu asikilize mawazo yako, na kukataa kusikiliza mawazo mbadala. Tuendelee kukaa kimya hadi siku tutakayoambiwa huruhusiwi kukohoa hadi kibali cha Muhimbili. Labda ndo tutapata akili.!

Imekuwa kila tatizo, jambo, changomoto, nk wakulaumiwa ni Magufuli. Kuna siku jina lake halitajwi? Hakika amewagusa watu wengi.

Hili la vyombo vya habari na uhuru wake, tatizo ni la wamiliki na wana habari wenyewe. Hakuna ubishi yanayo habarishwa mengi ni ya udaku kuliko habari yenyewe. Kwa sababu ya ushindani wa kibiashara, walengwa wa habari wengi wao hupenda kusikia mabaya.
 
ULIWAHI KUSIKIA JPM ANAONGEA NA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA , ? HAJUI KWAMBA UTAITANGAZA NCHI YAKO KWA KUONGEA NA WANAHABARI
 
Kichaa kapewa rungu.
Mmemtukana Lisu kua anamtukana jiwe kua ni dikteta uchwara sasa mtashaaaa
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini?

Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC, Meza ya duara ya DW na habari za ulimwengu za VOA hatutazisikia tena hadi kibali kutoka TCRA? Ujinga gani huu?

Halafu hizi radio za nje zinazotangaza kwa kiswahili zimesaidia sana kukuza Kiswahili kimataifa. Zilianza BBC, DW na VOA lakini leo radio zenye idhaa ya Kiswahili ni nyingi sana duniani. Radio Japan, Radio Tehran, Radio China International, Idhaa ya Kiswahili ya umoja wa mataifa, Radio France Internationale etc.

Na watanzania wengi wamepata ajira kwenye vyombo hivi vya habari. Kupitia radio hizi Kiswahili kinasikilizwa sana nchi za jirani. Nenda Burundi uone watu wanavyosikikiza matangazo ya mchana ya DW, nenda Uganda uone watu wanavyosikiliza Dira ya dunia ya BBC. Kiswahili kinakua sana. Lakini leo kwa sababu ya ubinafsi tunazuia vyombo hivyo kusikika hapa nchini. Tunataka watu wote wasikilize kuhusu reli ya SGR na Flyover za Ubungo.

Hii si sawa hata kidogo. Tunakoelekea ni pabaya sana. Dalili mojawapo ya kupoteza uhuru wa habari ni kulazimisha kila mtu asikilize mawazo yako, na kukataa kusikiliza mawazo mbadala. Tuendelee kukaa kimya hadi siku tutakayoambiwa huruhusiwi kukohoa hadi kibali cha Muhimbili. Labda ndo tutapata akili.!
 
Tuko katika vita vya uchumi na mabeberu.
Whistler blowers wa mabeberu walitumia mwanya huo kutuchafua kimataifa.
Kuregurate mifumo ya habari ni muhimu sana kipindi hiki ndio maana kuna baadhi ya nchi ufunga mipaka yake yote.
Siasa za uchaguzi ni siasa za ndani kwa ndani, haiwezekani mambo ya ndani upeleke nje.
Nje kinaenda chakula kilichoiva ndani kwanza.
 
Tena maamuzi haya yalipaswa yafanywe mapema zaidi, maana Kama wanatumia vyombo vya habari za kimataifa Bora tubaki na RTD tu hakuna namna[emoji23][emoji1787][emoji23]! Hakuna kucheka na nyani[emoji34]! Msioweza kuishi bila hivyo vyombo vya habari vya nje nendeni huko xilipo mzifuate!
Maskini!!
Huna hata like moja, comment ya mda Sana hii. WalioComment after wewe wana like hadi 180. Very sad.
 
Mbona radio zinazotangaza kwa kiswahili huko japan zinabalance story?
Sahv Kuanzia asubuhi mpk jioni redio zinacheza bongo fleva tu, online tv tu nasikiliza Habari za udaku tu gigy sjui kumwambia nn nandy
Juma lokole, mwijaku, shilole ndy wanatamba huko

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
namber one rule in mass media is (GIVE THE PEOPLE WHAT THEY WANT)
 
Huna point hapo, we bumbu tu
We mjinga pumbavu kabisa. Unatetea ujinga kwa kuwa kuna alternative? Kwa hiyo utaridhia mkeo apigwe miti na njemba nje kwa kuwa una option ya kulala na malaya wa kununua?
Akili za mende
 
Maskini!!
Huna hata like moja, comment ya mda Sana hii. WalioComment after wewe wana like hadi 180. Very sad.
Huwa sitoi comment ili wai'like' the likes of you...I just speak my mind...love it or hate it I don't care! Machoko ndio wenye Tabia ya kutafuta likes😡!
 
ikifikia hatua unatunga sheria/kanuni kwa ajili ya kumdhibiti/kumlinda mtu mmoja ni hatari sana. hivi kweli imefika hatua tunatunga kanuni kwa ajili ya kumzuia Lissu?
 
Back
Top Bottom