Hakuna haja ya kumwonea huruma, amefanya mengi ya kuchukiza na bado watu hawajaona mambo yakitokea endelea kufuatilia.Magufuli namuonea huruma kiukweli
Kwani wakisha apply na kupata permit kutambuliwa rasmi ujiungaji wao na media za nje si unaruhusiwa kujiunga na radio/tv zozote za nje ili ziweze kuhabarisha issues about Tanzania na dunia.
Wajisajili tu waendelee tu na uhabarishaji.
BTW Kuna BBC online, etc pia Kuna radio za nchi jirani hujiunga na hizi radio/tv washirika.
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini?
Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC, Meza ya duara ya DW na habari za ulimwengu za VOA hatutazisikia tena hadi kibali kutoka TCRA? Ujinga gani huu?
Halafu hizi radio za nje zinazotangaza kwa kiswahili zimesaidia sana kukuza Kiswahili kimataifa. Zilianza BBC, DW na VOA lakini leo radio zenye idhaa ya Kiswahili ni nyingi sana duniani. Radio Japan, Radio Tehran, Radio China International, Idhaa ya Kiswahili ya umoja wa mataifa, Radio France Internationale etc.
Na watanzania wengi wamepata ajira kwenye vyombo hivi vya habari. Kupitia radio hizi Kiswahili kinasikilizwa sana nchi za jirani. Nenda Burundi uone watu wanavyosikikiza matangazo ya mchana ya DW, nenda Uganda uone watu wanavyosikiliza Dira ya dunia ya BBC. Kiswahili kinakua sana. Lakini leo kwa sababu ya ubinafsi tunazuia vyombo hivyo kusikika hapa nchini. Tunataka watu wote wasikilize kuhusu reli ya SGR na Flyover za Ubungo.
Hii si sawa hata kidogo. Tunakoelekea ni pabaya sana. Dalili mojawapo ya kupoteza uhuru wa habari ni kulazimisha kila mtu asikilize mawazo yako, na kukataa kusikiliza mawazo mbadala. Tuendelee kukaa kimya hadi siku tutakayoambiwa huruhusiwi kukohoa hadi kibali cha Muhimbili. Labda ndo tutapata akili.!
wacha ayavune sasa ndo madhara ya kuwafungia wengie miaka mi5Miaka 5 unaongea wewe tu, wananchi washakuchoka wanataka kuwasikia na wengine wanasema nini - hujijui?
Miaka 5 unaongea wewe tu, wananchi washakuchoka wanataka kuwasikia na wengine wanasema nini - hujijui?
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini?
....
Hii si sawa hata kidogo. Tunakoelekea ni pabaya sana. Dalili mojawapo ya kupoteza uhuru wa habari ni kulazimisha kila mtu asikilize mawazo yako, na kukataa kusikiliza mawazo mbadala. Tuendelee kukaa kimya hadi siku tutakayoambiwa huruhusiwi kukohoa hadi kibali cha Muhimbili. Labda ndo tutapata akili.!
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini?
Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC, Meza ya duara ya DW na habari za ulimwengu za VOA hatutazisikia tena hadi kibali kutoka TCRA? Ujinga gani huu?
Halafu hizi radio za nje zinazotangaza kwa kiswahili zimesaidia sana kukuza Kiswahili kimataifa. Zilianza BBC, DW na VOA lakini leo radio zenye idhaa ya Kiswahili ni nyingi sana duniani. Radio Japan, Radio Tehran, Radio China International, Idhaa ya Kiswahili ya umoja wa mataifa, Radio France Internationale etc.
Na watanzania wengi wamepata ajira kwenye vyombo hivi vya habari. Kupitia radio hizi Kiswahili kinasikilizwa sana nchi za jirani. Nenda Burundi uone watu wanavyosikikiza matangazo ya mchana ya DW, nenda Uganda uone watu wanavyosikiliza Dira ya dunia ya BBC. Kiswahili kinakua sana. Lakini leo kwa sababu ya ubinafsi tunazuia vyombo hivyo kusikika hapa nchini. Tunataka watu wote wasikilize kuhusu reli ya SGR na Flyover za Ubungo.
Hii si sawa hata kidogo. Tunakoelekea ni pabaya sana. Dalili mojawapo ya kupoteza uhuru wa habari ni kulazimisha kila mtu asikilize mawazo yako, na kukataa kusikiliza mawazo mbadala. Tuendelee kukaa kimya hadi siku tutakayoambiwa huruhusiwi kukohoa hadi kibali cha Muhimbili. Labda ndo tutapata akili.!
Maskini!!Tena maamuzi haya yalipaswa yafanywe mapema zaidi, maana Kama wanatumia vyombo vya habari za kimataifa Bora tubaki na RTD tu hakuna namna[emoji23][emoji1787][emoji23]! Hakuna kucheka na nyani[emoji34]! Msioweza kuishi bila hivyo vyombo vya habari vya nje nendeni huko xilipo mzifuate!
Sahv Kuanzia asubuhi mpk jioni redio zinacheza bongo fleva tu, online tv tu nasikiliza Habari za udaku tu gigy sjui kumwambia nn nandyMbona radio zinazotangaza kwa kiswahili huko japan zinabalance story?
We mjinga pumbavu kabisa. Unatetea ujinga kwa kuwa kuna alternative? Kwa hiyo utaridhia mkeo apigwe miti na njemba nje kwa kuwa una option ya kulala na malaya wa kununua?
Akili za mende
Huwa sitoi comment ili wai'like' the likes of you...I just speak my mind...love it or hate it I don't care! Machoko ndio wenye Tabia ya kutafuta likes😡!Maskini!!
Huna hata like moja, comment ya mda Sana hii. WalioComment after wewe wana like hadi 180. Very sad.