Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
 
Chadema ni sawa na wale ndege wanaitwa "chichi dodo" aliyesimuliwa katika kitabu cha "The Beautiful ones are not yet Born" Ndege hao hawapendi kinyesi, lakini wanakula funza wanaotokea baada ya kinyesi kuoza.

Hawawataki Halima na wenzake, lakini wanalamba ruzuku inayotokana na ubunge wao. Hawaipendi CCM lakini Lissu alikula milioni tano ya CCM akanunulie gari. Walimpiga madongo Mbowe, kwamba ana fedha za Abdul na CCM kazileta chadema, lakini matisheti waliyovaa yalishonwa na kununuliwa na Mbowe na wakati wanavaa hawakuuliza fedha ya kuyanunua zimetoka wapi, wakawa wanacheka cheka huku wanavaa
 
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
Ni kwakuwa wengine wana covid wengine wana malaria.
 
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
Slaa alihujumiwa na uongozi wa cdm, wakati akina Mdee waliiuhujumu cdm hadi kuipeleka mahakamani. Kipi huelewi hapo?
 
Slaa huyu aliyeenda kuchukua hela zake za usaliti pale Rwanda akiwa na Mapumba
 
Slaa alihujumiwa na uongozi wa cdm, wakati akina Mdee waliiuhujumu cdm hadi kuipeleka mahakamani. Kipi huelewi hapo?
Sielewi kwamba slaa alihujumiwa? Lissu alisema haya wakati slaa analaumu chadema. Lissu alisema mkewe ndio aliemshawishi slaa kuhama chadem. Juzi lissu kasema slaa ndio aliomleta Lowasa chadema. Kahujumiwa vipi
 
CCM ndiyo imewafadhili hao wote kina Mdee na Mzee wetu kukijeruhi chama kwa nyakati tofauti.

Sasa Lissu kumtetea mtu si kwamba ndiyo msimamo wa chama yeye ni wakili hata Mdee akikamatwa Lissu anaweza kumsaidia ni wakili na ana utashi wake.
 
Alisema LEMA anataka Slaa aingizwe kamati kuu
 
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
Vipi jimbo lipo wazi? yaani umeolewa au bado?
 
CCM ndiyo imewafadhili hao wote kina Mdee na Mzee wetu kukijeruhi chama kwa nyakati tofauti.

Sasa Lissu kumtetea mtu si kwamba ndiyo msimamo wa chama yeye ni wakili hata Mdee akikamatwa Lissu anaweza kumsaidia ni wakili na ana utashi wake.
Huo ndio msimamo wa chama
 
Sielewi kwamba slaa alihujumiwa? Lissu alisema haya wakati slaa analaumu chadema. Lissu alisema mkewe ndio aliemshawishi slaa kuhama chadem. Juzi lissu kasema slaa ndio aliomleta Lowasa chadema. Kahujumiwa vipi

Lissu alisema Slaa kaiba mke wa mtu
 
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
Babu yako leo atakuwa wapi?

Bado anatetea umri wake?
 
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
Kama slaa mwenyewe ameamua kurudi ni afadhali kuso lake ni dogo kuliko covid 19 sababu za slaa kuondoka zilifahamika lakini hawa walikisaliti chama kwa msaada wa mihimili ya nchi.Utafanyaje mkeo akikusaliti mbele ya mume mwingine?
 
Back
Top Bottom