Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

Hao wabunge walioapishwa gereji kinyume taratibu za chama hatuwataki.
 
Chadema ni sawa na wale ndege wanaitwa "chichi dodo" aliyesimuliwa katika kitabu cha "The Beautiful ones are not yet Born" Ndege hao hawapendi kinyesi, lakini wanakula funza wanaotokea baada ya kinyesi kuoza.

Hawawataki Halima na wenzake, lakini wanalamba ruzuku inayotokana na ubunge wao. Hawaipendi CCM lakini Lissu alikula milioni tano ya CCM akanunulie gari. Walimpiga madongo Mbowe, kwamba ana fedha za Abdul na CCM kazileta chadema, lakini matisheti waliyovaa yalishonwa na kununuliwa na Mbowe na wakati wanavaa hawakuuliza fedha ya kuyanunua zimetoka wapi, wakawa wanacheka cheka huku wanavaa
Uwezo wa nchi unapimwa kwa mambo ya msingi.

Nchi ambayo bado inapewa misaada ya matundu ya vyoo na ambayo inapoteza watoto wadogo wenye damu ya kisiasa inayochemka kama akina Soka nakuhakikishia, nchi hiyo ni failure ktk anga zote.

Akili isiyoweza kusolve matatizo ya msingi kama vile maji, matundu ya vyoo, madawati usitegemee inaweza kuwa nzuri kwenye mambo complex kama ya ulinzi ktk geopolitics.
 
Mambo ya ulinzi yana mazingira yake yanaposhughulikiwa
 
Back
Top Bottom