Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

Hao wabunge walioapishwa gereji kinyume taratibu za chama hatuwataki.
 
Uwezo wa nchi unapimwa kwa mambo ya msingi.

Nchi ambayo bado inapewa misaada ya matundu ya vyoo na ambayo inapoteza watoto wadogo wenye damu ya kisiasa inayochemka kama akina Soka nakuhakikishia, nchi hiyo ni failure ktk anga zote.

Akili isiyoweza kusolve matatizo ya msingi kama vile maji, matundu ya vyoo, madawati usitegemee inaweza kuwa nzuri kwenye mambo complex kama ya ulinzi ktk geopolitics.
 
Mambo ya ulinzi yana mazingira yake yanaposhughulikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…