Swali kwa upinzani: Je, tatizo lenu ni Magufuli au CCM?

Upinzani wenyewe ni tatizo.

Usiwaulize maswali magumu sana utawachanganya.
 
Hapa sio nyumbani kwa mkeo ambapo utajibiwa utakavyo.
Naona ndugu umeamua kuchagua lugha inayo kupendeza kwa ajili yangu, asante kwa hilo na karibu kwa wakati mwingine ukistaarabika.
 

Wote
 
Maiti ovu
 
Hivi kuna tofauti kati ya ccm na magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…