Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Waumini wapi ? Wa Kihundu kwa mfano?
Wanazuoni wapi?
 
Unathibitishaje mungu wako ni wa kweli na ya wengine ni utapeli tu wa viongozi wa kidini?
Kama wewe unaweza kuthibitisha hivyo unafikiri wao hawawezi pia kuthibitisha mungu wako ni wa kitapeli?
 
Mafuriko inaweza kuwa adhabu sadistic?
 
Waumini wapi ? Wa Kihundu kwa mfano?
Wanazuoni wapi?
Wala usifikirie mbali. Tuanzie kwenye baadhi ya ibara za kanuni ya imani ya Atanazius (Atahanasian Creed), yenye ibara 44, na inayopaswa kuaminiwa na Wakatoliki wote duniani:

1. The Godhead is God
2. God is triune.
3. The Father is God, and The Son is God, and The Holy Spirit is God.
4. The Father is not triune, and The Son is not triune, and The Holy Spirit is not triune.
5. The Father is not the Son, and The Son is not the Holy Spirit, and The Holy Spirit is not the Father.
6. There is only one God.

Controversial observations:

1. Statements 2, 3 and 4 are logically incompatible, since they imply that, each of the Father, The Son, and The Holy Spirit is triune, and that none of them is triune. This is a contradiction, as a proposition cannot be true and false at the same time and in the same respect.

2. Statements 3 and 6 are logically incompatible, since they imply that there are three Gods and that there is one God simultaneously. This is a contradiction.

3. Statements 1, 3 and 6 are logically incompatible, since they imply that there are four Gods and that there is one God simultaneously. This is a contradiction.

Hapa nimetumia divine atributes mbili tu: yaani divine unity and divine tri-unity.

Umeona mgogoro wa kimantiki na kimetafizikia?

Hivyo ndivyo wanazuoni tunavyofanya kazi ya intellectual decolonisation.

Yaani, inafika mahali unajiuliza swali: Hivi, hawa makuhani wetu ni matapeli, vilaza au wanaujua utata huu lakini wanaganga njaa?
 
Allah anasema "tume", huo ni wingi!
 
Mbowe ndiye alikuambia haya?
 
Mbowe ndiye alikuambia haya?
Duh!

Tatizo liko wapo katika hoja hii hadi uanze kutafuta authority ya Mbowe?

1. Kuomba kitu kutoka kwa mtu fulani ni uamuzi unaoanzia katika imani kwamba mtu huyo yupo na anaweza kutimiza ombi.

2. Mfano, kama mtu haamini kwamba kuna ng'ombe wa bluu hawezi kuomba kupewa "maziwa" ya ng'ombe wa bluu.

3. Kwa hiyo mtu huyo hapaswi kuombewa "maziwa" kutoka kwa ng'ombe wa bluu.

Ni vivyo hivyo, kuhusu suala la Mbowe.

4. Mbowe sio Mkatoliki hadi leo, na hivyo, kimantiki tu, anaamini kuwa Mungu wa Wakatoliki hayupo.

5. Kwa sababu hii, Mbowe hawezi kuomba "baraka" kutoka kwa Mungu wa Wakatoliki, ambaye kwa mtazamo wa Mbowe ni Mungu hewa.

6. Kwa hiyo Mbowe hapaswi kuombewa "baraka" kutoka kwa Mungu wa Wakatoliki, ambaye kwa mtazamo wa Mbowe ni Mungu hewa.

Ukweli ni kwamba:

7. Mbowe anaamini kuwa Mungu wa Walutheri yupo na ndio maana ni Mlutheri hadi leo.

8. Kwa hiyo anaweza kuomba na anapaswa kuombewa "baraka" kutoka kwa Mungu huyu pekee.

Dokezo gani lina utata hadi uanze kutafuta ushahidi wa ziada?
 
Mkuu bona watafuta laana,isikuwa na sababu, kwani duniani Kuna Mungu wangapi?
 
Una uhakika gani Mbowe ni Mlutheri hadi leo?!
 
Mother acha hayo. Unatakiwa uwe na umama, yaani huruma siyo K tu. Ina maana huna Mme, baba, kaka, mjomba, nk? kwa hiyo mmojawapo wa hao akipata tuhuma akawa maabusu au kafungwa hutamuombea? Na tunapoambiwa tuwaombee, tuwatembelee na kuwatolea Wafungwa, maabusu, wagonjwa, wajane, yatima na wagane ina maana hujui tulifanyalo au wewe hutendi.? Na ukumbuke ni maagizo ya torati.
Mother nimekudharau sana kuona Mbowe kuombewa roho inataka kukotoka. Unaandika mistari mirefu na maneno mengi kumbe ni umaku tuu. ! uwe na moyo wa kike acha ushupaza. Acha kupanua tumbo ili lijazwe ila ujue watakupanua pia.
 
Tulia sindano ikuingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…