Swali kwa wadada, hivi mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

Tatizo lenu nyie wengi wenu kidume akipigia changamoto kidogo ya ndalama ndio haoooo mnachepuka dharau kama zote.
Sikatai kabisa.

japo huwa tunaziover look tabia za ME ambaye hana hela. Hii ndio point yangu ya leo.
Kuna muda kukosa pesa kwenyewe si tatizo, siamini kama waliodumu na wake zao katika maisha yao yote mambo yalikuwa yamenyooka.

Simtetei yeyote hapa.
 
Angalau za kupandia bodaboda ziwepo sio lazima za uber.
Mwanaume akiwa hana hela kudeal nae ni ngumu sana. Unaweza ukawa unacheka na comments za jf akakwambia unamcheka yeye! Au ukachelewa kujibu sms/call ukaambiwa..."naona siku hizi unanidharau kwa kuwa sina hela..."

Hizi attitudes wengi ndo huwa zinawakatisha tamaa!
 
Wee bwana hawa ukishakosa hela dharau zinatokea tuu tulishajionea kwa watu wetu wa karibu. The woman had nothing mwanaume ana fight kumtunza mwanamke but jamaa ametetereka kidogo tuu mwanamke dharau kibao na mbususu anagawa kama karanga za kuonjeshwa.
 
Kwahiyo kuwa na uhusiano na mwanaume ambaye amepata changamoto ya kipesa freshi

#nyumayapazia
 
Hebu sema ukweli wako, hivi wadada mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

#nyumayapazia
Ama ungeuliza hivi
"Hivi wanaume ndio na pesa mnapata wapenzi? Au mnapataje nyutelezi?
 
Angalau za kupandia bodaboda ziwepo sio lazima za uber.
Mwanaume akiwa hana hela kudeal nae ni ngumu sana. Unaweza ukawa unacheka na comments za jf akakwambia unamcheka yeye! Au ukachelewa kujibu sms/call ukaambiwa..."naona siku hizi unanidharau kwa kuwa sina hela..."

Hizi attitudes wengi ndo huwa zinawakatisha tamaa!
Vipi kwa mwanaume ambaye ndo kwanza anajitafuta mme kama huyu ni vibaya au vizuri kuwanae kwenye mahusiano

#nyumayapazia
 
Kwenye uzi huu akina Dada mmenifurahisha kweli..

Tusubiri ufafanuzi zaidi...
 
Wee bwana hawa ukishakosa hela dharau zinatokea tuu tulishajionea kwa watu wetu wa karibu. The woman had nothing mwanaume ana fight kumtunza mwanamke but jamaa ametetereka kidogo tuu mwanamke dharau kibao na mbususu anagawa kama karanga za kuonjeshwa.
Wanawadharau kwa sababu hata nyie mkizipata huwa mnaenda kutumbua na wanawake wengine.
 
Vipi kwa mwanaume ambaye ndo kwanza anajitafuta mme kama huyu ni vibaya au vizuri kuwanae kwenye mahusiano

#nyumayapazia
Ni vizuri na hakuna ubaya wowote ila ndo unatafuta kweli sio kukaa tu ndani unalalamika ramani hazisomi.
 
Back
Top Bottom