Swali kwa wadada, hivi mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

Sasa mwanaume anakosa je pesa🙆🙆🙆🙆🙆
 
Fafanua kwanza kutokuwa na hela kukoje?

1.hajawahi kuwa na hela 2. ameishiwa? 3. ana hela kidogo amezidiwa na KE?

Namba 3 Inawezekana, 1&2 Mwanamke ajiaandae kuna mambo atadeal nayo hadi atakinai mwenyewe; insecurities, attitudes, anaweza kuwa violent, anaweza kuwa unmotivated, controlling, nagging etc.

Si kwa ubaya, mwanaume asipokuwa na hela anakuwa anadeal na mambo mengi sana kichwani yanayomfanya iwe ngumu sana kuishi na mwenza.

Kwa kuongezea: huwezi ijui tabia halisi ya Mwanaume asiyekuwa na hela.

Anyways, tuwaombee wanaume wapate pesa kwasababu nadhani ni kitu kigumu sana kwao. (Nimeongea kama dada wa mtu)
 
Hebu sema ukweli wako, hivi wadada mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?
Pesa inatafutwa tu.... cha msingi... Mwanaume uwe na sura ya kazi namna hii!!!

Misuli iliyoshiba! Kufanya kazi!
GC_rYcJXkAA4P2e.jpeg
 
Fafanua kwanza kutokuwa na hela kukoje?

1.hajawahi kuwa na hela 2. ameishiwa? 3. ana hela kidogo amezidiwa na KE?

Namba 3 Inawezekana, 1&2 Mwanamke ajiaandae kuna mambo atadeal nayo hadi atakinai mwenyewe; insecurities, attitudes, anaweza kuwa violent, anaweza kuwa unmotivated, controlling, nagging etc.

Si kwa ubaya, mwanaume asipokuwa na hela anakuwa anadeal na mambo mengi sana kichwani yanayomfanya iwe ngumu sana kuishi na mwenza.

Kwa kuongezea: huwezi ijui tabia halisi ya Mwanaume asiyekuwa na hela.

Anyways, tuwaombee wanaume wapate pesa kwasababu nadhani ni kitu kigumu sana kwao. (Nimeongea kama dada wa mtu)
Tatizo lenu nyie wengi wenu kidume akipigia changamoto kidogo ya ndalama ndio haoooo mnachepuka dharau kama zote.
 
Back
Top Bottom