Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawai kusikia wanawake wakisema simtaki mwanaume asiye na hela?Hana hela? Yan hanaje hela?
Hana hela za kufanya hizo fancy shits au hana hela ya kufanya basic needs za mtanzania asiye fisadi?
Hivi ujawai kuona mwanaume asiye nahela?Sasa mwanaume anakosa je pesa🙆🙆🙆🙆🙆
Japo kutesa sio kila siku ila....
Hawasemi ila wanaunganishaga kwenye kundi la walio na tabia mbaya au wasiojielewaUshawai kusikia wanawake wakisema simtaki mwanaume asiye na hela?
#nyumayapazia
Hebu sema ukweli wako, hivi wadada mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?
Au ada inalipwa kwa mapenzi 😆😆Tununue sukari kwa kutumia mapenzi sio[emoji20]
na wanashughulika kwelikweli...😂Ngoja nione akina Dada wa kiume wanavyojibu swali lisilowahusu.
Pesa inatafutwa tu.... cha msingi... Mwanaume uwe na sura ya kazi namna hii!!!Hebu sema ukweli wako, hivi wadada mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?
Na matusi juu..huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuniHawawezi mkuu, ukitaka kuamini we yumba kiuchumi utaachwa mchana kweupe tu
Tatizo lenu nyie wengi wenu kidume akipigia changamoto kidogo ya ndalama ndio haoooo mnachepuka dharau kama zote.Fafanua kwanza kutokuwa na hela kukoje?
1.hajawahi kuwa na hela 2. ameishiwa? 3. ana hela kidogo amezidiwa na KE?
Namba 3 Inawezekana, 1&2 Mwanamke ajiaandae kuna mambo atadeal nayo hadi atakinai mwenyewe; insecurities, attitudes, anaweza kuwa violent, anaweza kuwa unmotivated, controlling, nagging etc.
Si kwa ubaya, mwanaume asipokuwa na hela anakuwa anadeal na mambo mengi sana kichwani yanayomfanya iwe ngumu sana kuishi na mwenza.
Kwa kuongezea: huwezi ijui tabia halisi ya Mwanaume asiyekuwa na hela.
Anyways, tuwaombee wanaume wapate pesa kwasababu nadhani ni kitu kigumu sana kwao. (Nimeongea kama dada wa mtu)
Kwani ujawai kukutana na mwanaume asiye nahela?Fafanua vizuri bwana uzi mfupi sana