Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Hahahaaa sasa itabidi tubanane kwa hao wachache! Hybrids wako wachache mno! Waache wengine wapende pesa, sijui dushe, nk!

Ha ahaaa we kweli tomaso yaani msimamo mpaka mwisho???!!!!!!
 
sijajuta wii
si unajua brother always wish the best for her lil sisy
huu mda mko hum ndoa mnaidumisha saa ngapi lol[/QUOTE]

Ngoja akusikie,utachapwa!!!
Ugali wii,kaenda mkoa katumwa na mkoloni wake.
Hajakuaga?
 
hahahaahaa anisikie tu tena yupo humu ila sijui Hata id yake

Nae hajui ID yako?! Manake duh! Yani kuna nested thread umu ya kumshushua or smtin lyk it! Sema ka yupo atajishtukia tu.....
 
Nae hajui ID yako?! Manake duh! Yani kuna nested thread umu ya kumshushua or smtin lyk it! Sema ka yupo atajishtukia tu.....

Hahahahaahaa hajawahi kuijua kwa kweli nipo vizuri kwe kuhide ma private life ila atakua ameisoma kimyakimya thou sijisikii vizuri kumsema ila ni very stubborn jaman
 
Cha muhimu zaidi mimi nadhani ni content/ strength of character ya mtu. Kuangalia urefu, skin tone, unene wa mifuko na kadhalika ni kuwa shallow.

umeona eeeeh. leo umeongea point kuliko siku zote. lol. halafu ujue hapa najiuliza, kama hao wanaume warefu weusi hawajawahi kuachwa!! ukijua kama na wao huwa wanachwa basi ni character ya mtu ndio inamata zaidi.
 
Hahahahaahaa hajawahi kuijua kwa kweli nipo vizuri kwe kuhide ma private life ila atakua ameisoma kimyakimya thou sijisikii vizuri kumsema ila ni very stubborn jaman

Kama anachonga sana we akianza tu piga mwayo then jinyooshe akiendeleza ngenga act kama unasinzia then aga!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…