OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Hunili ukanisha!!!!!Sema tu zimwi likujualo ....................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hunili ukanisha!!!!!Sema tu zimwi likujualo ....................
mwajuma huyo.........lolzzz
dah!! hamisi leo mpaka nimekupenda!!
umesomeka vizuri. unanidai dripu la bia na gunia la vitwitwi. santee!
Hahahaaaaaa!!
Thats my wii,mi penda wewe sana tu!!!
Distance itamuokoa leo,nitazima simu tu akili imkae sawa
Alaaa! Nichumu basi.....
Na ntakudai kweli, si utani.
hebu njoo jukwaa la wakubwa kwanza nikumwagie ukweli. hapa wana wengi!Usitutishe bhana! Bila shaka we mfupi! Siyo mbaya lakini, we tafuta hela tu Mkuu! Mfupi silaha yake dollars!
hahaaaaaaaa
wii utaweza lakin
mwaaaaaaaah!!!! (usalama wangu upo kweli!! ). lol
Senkyuuu,aint you interested!!!!
Count me out,unajua nisivyo rafiki wa heights.
hahaaaaaaaa
wii utaweza lakin
I do na tulikuwa hatuko na perspective moja! !!!!
Thanx kama ulielewa mamy,msome na kaka mkubwa Nyani Ngabu hapo katupia nondo za ukweli kabisa!!!
Kwani kuweza nywele za kwapa kwamba akikua tu zinaota!!!!!??????
Anazimaga simu halafu anawasha laptop anakuja PM sasa hapo ndio kauchuna ati!!!!!
Alaaa kumbe umejawa na kibri ee?
Yeah except vilele horizontal ndio height zake una urafiki navyo!!!!!
mdada wa nguvu ndio anakuwaje huyo............
wao wanachukulia pesa kama silaha ya kulinda mahusiano,,,
nimemsoma kwa umakin NN
ushukuriwe sana brother
Mwalimu ni wewe!!!!!
Lakini wewe!!!
Ngoja tu,the day will come .......!!!