Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

mwaaaaaaaah!!!! (usalama wangu upo kweli!! ). lol

Unaogopa nini kwani? Tindikali?

Utajibeba na kujiju....teh teh teh.

Wala usijali bana. Uko salama salimini kabisa. Akikuzingua mtu nambie, sawa?
 
Kwani kuweza nywele za kwapa kwamba akikua tu zinaota!!!!!??????
Anazimaga simu halafu anawasha laptop anakuja PM sasa hapo ndio kauchuna ati!!!!!

Alaaa kumbe umejawa na kibri ee?
 
Back
Top Bottom