Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Kama anachonga sana we akianza tu piga mwayo then jinyooshe akiendeleza ngenga act kama unasinzia then aga!!!!!

Huhuuuhu nice technique ila sijui ka ita work dawa ni kumtafuta tall man n black one hahahaaa
 
Huhuuuhu nice technique ila sijui ka ita work dawa ni kumtafuta tall man n black one hahahaaa

We piga hiyo kama mara mbili tu utaona kama mwepesi kumkichwa atasoma (x,y) then ata re locate fasta!!!!
 
umeona eeeeh. leo umeongea point kuliko siku zote. lol.

Kila siku mi namwaga mipwenti ya ukweli humu. Sema tatizo lako wewe huwa unawaza equipment ilopinda:becky:

halafu ujue hapa najiuliza, kama hao wanaume warefu weusi hawajawahi kuachwa!! ukijua kama na wao huwa wanachwa basi ni character ya mtu ndio inamata zaidi.

Hahaaa eti warefu weusi.

Well, na wao ni binadamu tu na wana mapungufu kama binadamu wengine na hukumbwa na madhila tu kama ambavyo watu wengine hukumbwa, yakiwemo hayo kuachwa na kuacha.

Character ya mtu goes a long way. Mimi tayari nilishagaivuka hiyo steji ya kuangalia mwonekano tu. Sasa hivi naangalia na kuzingatia makubwa na muhimu zaidi ya hayo ya mambo ya nje (mbolea, nyonyo, vimini, vikuku, weave, na vikwapa)

Maisha ni zaidi ya mwonekano. Leo hii umenipendea weusi na urefu wangu, mtondogoo nagongwa na bajaji nakatwa mguu mmoja nabaki na kigulu.

Bado utanipenda kama awali au utasepa kwa mwingine mwenye miguu miwili, mrefu, na mweusi?

Fikria Mwajuma, fikiria.
 

dah!! hamisi leo mpaka nimekupenda!! umesomeka vizuri. unanidai dripu la bia na gunia la vitwitwi. santee!
 
umeona eeeeh. leo umeongea point kuliko siku zote. lol. halafu ujue hapa najiuliza, kama hao wanaume warefu weusi hawajawahi kuachwa!! ukijua kama na wao huwa wanachwa basi ni character ya mtu ndio inamata zaidi.

mwajuma huyo.........lolzzz
 
nyie watu huwa mnanichekesha sana
ishukuriwe JF

do u remember kuna time kulikua na thread kama hii
what u said that time still make some sense to me hadi leo


I do na tulikuwa hatuko na perspective moja! !!!!
Thanx kama ulielewa mamy,msome na kaka mkubwa Nyani Ngabu hapo katupia nondo za ukweli kabisa!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…