Mjini hakuna urefu wala weusi ni pesa tu. Kwani Riz Moko ana urefu gani? mbona anagonga watoto kama hana akili timamu?
Kama mti ni wa kivuli basi panda wa matunda upate vyote!!!!
Ndo tafsiri ya nini wadada wanapenda!!!
Uliuliza vipimo vya urefu na ufupi, ikabidi nikutolee mfano rahisi wa kitanda unacholalia kila siku!
Hommie ushasahau mi jogoo la shamba. Hapa mjini nawika kwa jeuri ya wallet. Yawezekana kumbe weusi ukazidi jeuri wekundu walionenepeana kwenye wallet?
BTW ushaujua weusi na urefu hapa wazungumziwa wa kitu gani hasa? Wa mwili na roho au wa kiingiacho na kitokacho?
Cha ajabu wale anaowagonga, wanachukua mkwanja halafu wanagongwa na warefu vilevile! Pesa pekee haitoshi ndugu!
Ukweli utabaki hapo hapo wanaume warefu wana mvuto zaidi!
Cha ajabu wale anaowagonga, wanachukua mkwanja halafu wanagongwa na warefu vilevile! Pesa pekee haitoshi ndugu!
Ukweli utabaki hapo hapo wanaume warefu wana mvuto zaidi!
Hata wakigongwa na weusi, naye si anakuwa kishagonga? Kugongwa ni kugongwa tu.
Weusi warefu wanawagongea wenye mikwanja yao, na wenye mahela yao wanawagongea weusi warefu. Ngoma droo!!!
Hakyanani mi silalagi kitandani....
Hata wakigongwa na weusi, naye si anakuwa kishagonga? Kugongwa ni kugongwa tu.
Weusi warefu wanawagongea wenye mikwanja yao, na wenye mahela yao wanawagongea weusi warefu. Ngoma droo!!!
Hapo sasa! Ndiyo mana nilisema wafupi silaha yao ni WALLET! Lakini mapenzi yapo kwa mtu mrefu!
Hahahaaa unalala wapi?
Hahahha wallet mpango mzima mapenzi hata kumbi kumbi wanayo.....
Twende kule JLW hapa ntapigwa ban..
Kumbe mnajua hilo ee? Tukisemaga fedha kama tai mnaruka ile mbaya! Leo tumesema urefu wafupi wanakimbilia ngao ya wallet! Hahahaaa
C'mon!!!!, now I can understand the reason for why my wife loves me that much lol!!. Thanks God kwa kuniumba jinsi nilivyo na umuongezee mke wangu mapenzi zaidi juu yangu.
Kaka Kaizer anayebisha ajaribu upande wa pili wa uhalisia huu!!!Hahaha hii hoja tumeshakubaliana na OLESAIDIMU...kwamba bila wallet ayo mengine mbwembwe tu