No thanks...i want big booty big titiesOh, just as you are, that's how your grandfather is, man. He'll find you a woman you love and who matches your needs.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No thanks...i want big booty big titiesOh, just as you are, that's how your grandfather is, man. He'll find you a woman you love and who matches your needs.
Ni maoni yako pia.nayaheshimu.28+ walishachuja not good for consumption
It's a bitter truth you should sallow the way it is..Ni maoni yako pia.nayaheshimu.
Bravo umenipa kitu ngoja nitafute gheto nianze kusaka mke.Nilikuwa na kitanda, godoro, na vyombo vya kupikia na gas! Kukaa tunakaa kitandani! Na tulianza hivyo hivyo mpaka sasa tulikofikia hakuna mwanamke anaweza kunikataa kwa maisha haya!
Hamna cha maoni hizo ndio fact 28+ hunaolewa maana yake wee sio mwanamke mrembo wakuolewaNi maoni yako pia.nayaheshimu.
Shida zoote zilianzia hapa.Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji.
Pale Mwanamke anapokuona wewe ndio unamhitaji na wala sio yeye.Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo.
Wee mdada muongo wewe. Yani unasema hivyo kijanja ili nikuombe namba zako za simu. Hunipati ng'oo.mfano Mimi am over 30 but my p haujatumika hata kidole kinapata tabu.
Utasemaje..?
Acheni kukariri.
Ni vizuri amekuwa mwazi kwako kabla mambo hayajawa mengi.Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.
Mungu hakupi vyote.Dunia kubwa aisee leo hii mimi niwe na hale hafu nikose mke. Huku kwetu ngombe 7 tu unapata wa miaka 16
Hii I'd mpya nadhani ni mzabzab , anyway mwanamke wa kuoa hatafutwi. Ukitaka wa kutafuta waambie wazazi wako wakuletee, hata akiwa std 7b. Utanishukuru.Hbr wana JF,
Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.
Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.
Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.
Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!
NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Wee jamaaa ninda katest mitambo hiyo..kashakwambia punani ipo tyt.Wee mdada muongo wewe. Yani unasema hivyo kijanja ili nikuombe namba zako. Hunipati ng'oo.
CC: mzabzab
Haya bana wacha kwanza nile mbususu hizi kuoa baadae sanaYes man, you'll explain to grandpa that you want a big booty and boobs. You know, finding gold takes a lot of effort, but once you succeed, everyone wants it because of its value. It's the same as letting grandpa choose a wife for you, so don't be afraid, man.
Wee ebu lets go about this logically, if i a decent looking lady well presentable tabia nzuri kweli ufike miaka 30 hamna kidume ambaye anataka kukuwife...hapana bwanaFala sana ww
Ungana na huyo mzabazab wako kuendelea kutukana wanawake kisa umri.
Ndo sifa mojawapo ya immaturity.mkikua mtaacha