Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.
Ni vizuri amekuwa mwazi kwako kabla mambo hayajawa mengi.

Kama vile ambavyo wewe usingeridhika naye ungemwacha naye vile bile hajaridhika na wewe.

That is a fair decision

Ila pole aisee kakulia pesa kibao.

Usiwe unatanguliza hela tanguliza Manhood.
Kipindi ambacho umekaa naye alikuwa akikusoma Tabia.

Pengine aligundua pesa zako na mali unazompa zinakupa vitabia fulani asivyopenda. Unless she was a Gold Digger hawezi kukubali kuolewa.

Learn and start again
 
Hii I'd mpya nadhani ni mzabzab , anyway mwanamke wa kuoa hatafutwi. Ukitaka wa kutafuta waambie wazazi wako wakuletee, hata akiwa std 7b. Utanishukuru.
 
Haya bana wacha kwanza nile mbususu hizi kuoa baadae sana
 
Fala sana ww
Ungana na huyo mzabazab wako kuendelea kutukana wanawake kisa umri.
Ndo sifa mojawapo ya immaturity.mkikua mtaacha
Wee ebu lets go about this logically, if i a decent looking lady well presentable tabia nzuri kweli ufike miaka 30 hamna kidume ambaye anataka kukuwife...hapana bwana
 
Kutafta lifepartner ni kazi kama unavo fanya jitihada kupata Ajira, Biashara au deals zozote so Invest.

Kama kazi zako hazikukutanishi na potential life partner, kama mm, nafanya kazi na wamama & wabibi miaka 30+, Hivo nikizembea nakua na selection pool ndogo kuliko boda boda anae paki piki piki pale, na kubeba abiria 30 kwa siku ana possibility kubwa ya kukutana na life partner.

Hapa ndo unaamua kuinvest sasa muda na pesa, Mfano Tumia weekends zako kwa kutembelea sehemu zenye mikusanyiko ya watu kama makanisani, Viwanja vya mpira, Shopping malls , Supermarkets.

Katika hizo harakati, usitongoze tongoze hovyo, bali jenga urafiki then kilicho chako kitakua chako tu.

All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…