Swali kwa wanasheria: Je, Dk Mpango anaweza kumalizia muda wa rais Samia kisha anagombea tena miaka mitano?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .

Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?

USSR
 
Kwani Katiba ina semaje?

Mambo haya ni watu kama akina Mabeyo ndio wanao paswa kuyajibu.

Lakini nikupe pongezi kwa swali zuri hili ulilo uliza hapa. Hii ina maana, hata watu ambao CCM kwao ni kubwa zaidi ya Tanzania; kuna nyakati akili hugeuka na kuiona Tanzania zaidi ya kitu kingine chochote.
 
Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .

Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?

USSR
Kama huo mwaka 2026 Dk Mpango atakuwa makamu wa Rais jambo hilo linawezekana bila wasiwasi
 
swali gani hilo tena? mbona raisi samia alivyochukuwa ktk kwa Magu hamkuuliza hilo swali? hata kwa raisi P.Mpango (PhD) itakuwa hivyo hivyo pia, aliyekupa wewe ndiye atampa na yeye pia, iko hivyo tangia lini zito kabwe akaishutumu serikali ya raisi tena muislamu mwenzake kwa utekaji na utesaji? ukiona hivyo ujue mambo yamebana haswa, ahadi ni deni walisema wahenga wetu …
 
Kabla la hilo swali , jiulize Samia ni kweli Ina swihi kuitwa raisi wa awamu ya 6
 
Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .

Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?

USSR
Ndio tunasubiria tukio hilo kwa hamu.
 
swali gani hilo tena? mbona raisi samia alivyochukuwa ktk kwa Magu hamkuuliza hilo swali? hata kwa raisi P.Mpango (PhD) itakuwa hivyo hivyo pia, aliyekupa wewe ndiye atampa na yeye pia, iko hivyo tangia lini zito kabwe akaishutumu serikali ya raisi tena muislamu mwenzake kwa utekaji na utesaji? ukiona hivyo ujue mambo yamebana haswa, ahadi ni deni walisema wahenga wetu …
Trump Won.
 
Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .

Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?

USSR
Ndiyo. Na uzuri wa swali lako ni kwamba litajibiwa kwa vitendo 2026.
 
Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .

Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?

USSR
Ni mpaka tu sisi tuliosoma Kyuba (Cuba) tunaweza kufungua hii nywira (Code).

Sasa tukisubiri kila mtu amalizie keki yake, ndipo keki mpya ya wote iletwe tutakula lini na wakati gani. Kama keki inatakiwa kuisha saa mbili asubuhi na iliwe iishe kwa wakati.
 
Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .

Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?

USSR
Vipi March 17 2026 kitanuka tena?
 
Back
Top Bottom