Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Anaweza malizia hii tenure na akagombea miaka term mbili.Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .
Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?
USSR