Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Anaweza malizia hii tenure na akagombea miaka term mbili.Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .
Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?
USSR
Awamu inatokana na Mtu, na sio vipindi, ingekuwa hivyo ukiacha kipindi Cha Mwalimu. Mwinyi kaongoza vipindi 2, the same kwa Mkapa, Jk. jumlisha kipindi kimoja cha Magu Mpaka leo tungesema Samia ni Rais wa Awamu ya 9.Kabla la hilo swali , jiulize Samia ni kweli Ina swihi kuitwa raisi wa awamu ya 6
Duuu nimekusoma kaka!! Kumbe betting sio mpira tu hata hapa Jamii forum.😀🤣🤣Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .
Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?
USSR
Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .
Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?
USSR
Kwanza nani kakuambia DRje kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?
USSR
Kwanini ukiwa ccm na akili inakuwa fupi?!Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .
Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026 baada ya mama kushinda je mpango anaweza kutumia sheria ile ile kupata kumalizia kipindi cha Samia na kisha 2030 agombee ili kumalizia kipindi kimoja ?
USSR
Kila mtu ana shujaa wake, kwahiyo usiulize na kusubiria jibu uanze kubishaMagufuli alikuwa shujaa wa kitu gani?
Huo uchuro kuwa atamfuata dhalimu magu huuoni mitandaoni boss?Mama anatosha hatuhitaji yoyote yule
Kuanzia mwakani.Tuambie mambo hayo yatakuwa lini?
Nayo ni nini dalili ya kutendeka kwa mambo hayo Mt 24:........
Kwani mwenyekiti wa chama hataruhusu kuchapisha fomu zaidi moja?Kuanzia mwakani.