Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Kama kichwa cha habari kinavyosema

Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?

Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako

Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Napenda Tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?

Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako

Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
Ukikutana na mwanamke akakwambia moja kati yafuatayo ujue huyo ni muongo na dangaji la kimataifa
1. Mume Wangu ni mlevi Sana hawezi chochote kitandani. Dedicated Dangaji hilo
2. Mume Wangu ana kisukari hawezi kusimamisha...dangaji hilo
3. Mume Wangu ni shoga, a.k.a mchicha mwiba, ujue umekutana na concord Dangaji
4. Mume Wangu Malaya sasa, nimeumia nimechoka, hapa usisahau kuvaa kondom yenye TBS zote plus expiry date iwe valid
5. Mume Wangu ni mgomvi, nimemchoka na hachangii chochote kwenye ustawi wa familia.....ujue hapa umekutana na TRA Dangaji
 
Hii code nilikuwa sijui kabisa haha
 
Back
Top Bottom