Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

Kuna siku nimempigia demu wangu simu baada ya kuhis ana nicheat mida hio... Maana nakuwaga na hizo hisia..

Sasa akawa amepokea,.. binafsi nakuwaga makini sana kusikiliza sauti around yake. Sasa wakati naongea nae

Akasema please subir nipo na kazi nafanya apa!! Sasa nikawa nazidi kumwongelesha ili nipate sauti ya nyuma yake!

Sasa nikawa nasikia sauti.. ta! ta! ta! ta! ta!
Yaani mtu anaongea Kama anatembea! Halafu anasema Kuna kazi anafanya mara moja nimwache kidog😢..

Nikahis anasukumiwa kitu halafu anaongea na mim
Mkamalizanaje mkuu! 🤣🤣🤣

Bado una date naye!!
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema

Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?

Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako

Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
Ukimaliza swali lirudi kwa wanaume
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema

Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?

Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako

Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
Nyie tena mnalalamika...mnaotoa hadi namba zetu tuje kuchambwa?

Sababu yetu ni hiyo hiyo yenu.
 
Kuhusu vi bamia tutasimulia 🤭😅mtatusamehe kwa kweli
Kwanini Uliolewa nae?

Nyinyi hamjawahi kuwa na akili… kwenye wanawake 10 mwenye akili angalau ya Tia maji tia maji ni mmoja, Tena akifika kwenye 50’s ndo anaanza kukua
 
Umetumia Nguvu kubwa sana kuandika.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema

Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?

Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako

Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
Hawako matured hao. Mwanamke mkomavu aliyefundwa na mwenye kujitambua, kamwe hawezi sema madhaifu ya mumewe Kwa mchepuko. Atachepuka na Siri zake namumewe hatozitoa.
 
Back
Top Bottom