Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

Wanaume ndio wanaongoza kwa kuwasemea mabaya wake zao kwa michepuko. Yaani huwa wanamwaga madhaifu yote ya wake zao bila kujua kuna kuachana na atatumia hayo madhaifu kama fimbo ya kukuchapia.
 
Utaskia anasema " communication is key" ila akikasirika ananyamaza
Hayo si maneno ya kudanganyana ila uhalisia haupo 😜

Na mimi kuna mtu nimemdanganya akinioa ntapikia chakula kizuri 😜,Ntamtengenezea Juice Fresh kila siku 😅 sitanuna bila sababu.

Ila ukweli ni kwamba hakuna uhalisia hapo 😅😅😅
 
Ni lini mtu akahama CHADEMA na kukiongelea chama kwa uzuri
🤣
1000021376.jpg
 
Hayo si maneno ya kudanganyana ila uhalisia haupo 😜

Na mimi kuna mtu nimemdanganya akinioa ntapikia chakula kizuri 😜,Ntamtengenezea Juice Fresh kila siku 😅 sitanuna bila sababu.

Ila ukweli ni kwamba hakuna uhalisia hapo 😅😅😅
mwanaume akikudanganya kuwa atakununulia cheni ya dhahabu, atakupeleka vacation Dubai atakupa Range ili tu umkubalie unaona n ukweli.

Ila ukweli ni kwamba hamna uhalisia hpo.
Ni kutekeleza ILani yetu ya ' promise something that U cant give"
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema

Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?

Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako

Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
Nikawaida tu! Hakuna mwana ndoa anayeweza kuchepuka bila mapungufu ya mwenzie.
 
Mwanamke ahamie Kwa mchepuko
Wewe bwana nimekwambia kuchepuka ni udhaifu wa kibinadamu...unataka kubadilisha ladha.
Ni kama wewe hapo kwako kila leo unaenda serena? Sii unarudigi nyumbani kwenye main menu ya wali ugali ndizi.
 
Tena ukitaka ujue vinzur kuhusu mme wake katikati ya mechi mambo yamenoga muulize kitu kuhusu mme wke. Hakika atakwambia mpka kiwango Cha mahali alicho lipa hku akimtukana matusi mkubwa makubwa
 
Kuhusu vi bamia tutasimulia 🤭😅mtatusamehe kwa kweli
Halafu wanaume wakisema wanataka mabinti wabichi wenye bikra,hawawataki over thirty mnaona mmezalilishwa,wengine sasa hivi mshakimbilia kwenye vituo vya haki ya binadamu kuhusiana na yule mwandishi wa Channel ten kuwa amewazalilisha,baada ya kusema mwanamke over thirty hafai kuolewa.

Huwezi kumkuta mwanake ambaye ameolewa akiwa na bikra akiongea haya unayo ya ongea ww na ukiona binti anaongea hivyo, basi mileage yake kama gari basi ni yale mafuso ya mkaa.
 
Halafu wanaume wakisema wanataka mabinti wabichi wenye bikra,hawawataki over thirty mnaona mmezalilishwa,wengine sasa hivi mshakimbilia kwenye vituo vya haki ya binadamu ya kuwa yule mwandishi wa Channel ten amewazalilisha.

Huwezi kumkuta mwanake ambaye ameolewa akiwa na bikra akiongea haya unayo ya ongea ww na ukiona binti anaongea hivyo, basi mileage yake kama gari basi ni yale mafuso ya mkaa.
Sawa
 
Hii code nilikuwa sijui kabisa haha
Mpwa, nimeshakua nyani mzee, nimekwepa mishale mingi sana sana niamini. Kuna mmoja mwaka juzi kasema ooogh Unajua mume wangu ni bwabwa nimemfumania na mwanaume mwezie hahahahahaa kuja kufuatilia, kumbe hio story wameshaambiwa washkaji tofauti kwa miaka tofauti tofauti, kumbe ni uongo
 
😂😂
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema

Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?

Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako

Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
Kabla ya kuwaongelea vibaya wanaume wao kwa mchepuko, KILICHOMFANYA ACHEPUKE NDO HICHO HUWA SABABU..!!!
 
Back
Top Bottom