Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Wapo wengi na nilishawakataza kuwaongelea watu wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo si maneno ya kudanganyana ila uhalisia haupo 😜Utaskia anasema " communication is key" ila akikasirika ananyamaza
🤣Ni lini mtu akahama CHADEMA na kukiongelea chama kwa uzuri
mwanaume akikudanganya kuwa atakununulia cheni ya dhahabu, atakupeleka vacation Dubai atakupa Range ili tu umkubalie unaona n ukweli.Hayo si maneno ya kudanganyana ila uhalisia haupo 😜
Na mimi kuna mtu nimemdanganya akinioa ntapikia chakula kizuri 😜,Ntamtengenezea Juice Fresh kila siku 😅 sitanuna bila sababu.
Ila ukweli ni kwamba hakuna uhalisia hapo 😅😅😅
Nikawaida tu! Hakuna mwana ndoa anayeweza kuchepuka bila mapungufu ya mwenzie.Kama kichwa cha habari kinavyosema
Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?
Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako
Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
True, kuna swali la kichokozi utasikia mke wako mbona mzuri hivo kwanini una mcheat?Tena wanaume Ndio husimulia michepuko madhaifu ya wake zao.😊
Wewe bwana nimekwambia kuchepuka ni udhaifu wa kibinadamu...unataka kubadilisha ladha.Mwanamke ahamie Kwa mchepuko
Ngj nikutafutie linkInashangaza sana aisee
Labda analipa kisasi kwakuwa mumewe ni mchepukaji
Sawasawa,.Ngj nikutafutie link
Halafu wanaume wakisema wanataka mabinti wabichi wenye bikra,hawawataki over thirty mnaona mmezalilishwa,wengine sasa hivi mshakimbilia kwenye vituo vya haki ya binadamu kuhusiana na yule mwandishi wa Channel ten kuwa amewazalilisha,baada ya kusema mwanamke over thirty hafai kuolewa.Kuhusu vi bamia tutasimulia 🤭😅mtatusamehe kwa kweli
SawaHalafu wanaume wakisema wanataka mabinti wabichi wenye bikra,hawawataki over thirty mnaona mmezalilishwa,wengine sasa hivi mshakimbilia kwenye vituo vya haki ya binadamu ya kuwa yule mwandishi wa Channel ten amewazalilisha.
Huwezi kumkuta mwanake ambaye ameolewa akiwa na bikra akiongea haya unayo ya ongea ww na ukiona binti anaongea hivyo, basi mileage yake kama gari basi ni yale mafuso ya mkaa.
Mpwa, nimeshakua nyani mzee, nimekwepa mishale mingi sana sana niamini. Kuna mmoja mwaka juzi kasema ooogh Unajua mume wangu ni bwabwa nimemfumania na mwanaume mwezie hahahahahaa kuja kufuatilia, kumbe hio story wameshaambiwa washkaji tofauti kwa miaka tofauti tofauti, kumbe ni uongoHii code nilikuwa sijui kabisa haha
Mpwa, nimeshakua nyani mzee, nimekwepa mishale mingi sana sana niamini. Kuna mmoja mwaka juzi kasema ooogh Unajua mume wangu ni bwabwa nimemfumania na mwanaume mwezie hahahahahaa kuja kufuatilia, kumbe hio story wameshaambiwa washkaji tofauti kwa miaka tofauti tofauti, kumbe ni uongo
Kabla ya kuwaongelea vibaya wanaume wao kwa mchepuko, KILICHOMFANYA ACHEPUKE NDO HICHO HUWA SABABU..!!!Kama kichwa cha habari kinavyosema
Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?
Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako
Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?