Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

Lakini si wameulizwa wanawake ama sijaelewa?
Nimeshangaaa sana aisee hili swali ni la wanawake lakini wanaojibu ni wenye I'd za kiume halafu angalia jibu la post inayofuata baada ya post yako.

Huyu Trudie kaongea ukweli kabisa na sijui kashakutana na wanaume wangapi na wakamdanganya. 😅😅😅

Kazi kweli umalayer pro
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema

Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?

Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako

Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
Tatizo linaanzia kwenye kuchepuka, hapo tayari mahusiano yana shida. Ila wakati mwingine unajua mume wako naye anachepuka, au hakufikishi 💦, wengine wagonjwa inapita mwaka mzee kila akijaribu kuisimamisha anashindwa. Anyway, kusema mambo ya mwezako siyo sawa, ni kukosa heshima ( ila kama unachepuka tayari ushakosa heshima, so 🤷🏽‍♀️)
 
Sasa wewe kama hujui, umejuaje kwamba mchepuko anapatikana baada ya kuolewa..!! yaani bado utaturudisha nyma sana ujuwe..!!
io mahusiano mengine, kwenye title apo,nmejua tu n mtu aliyeko ndani
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema

Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?

Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako

Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
Wapo sahihi kuwaongelea vibaya lengo wasionekane malaya...
 
Hata wanaume wanasimulia sana madhaifu ya wake zao kwa michepuko yao ni vile hujawaji kudate nao ndo maana hujui.

Jibu ni simple.
Sababu kubwa ya kuchepuka ni kutoridhishwa matendo ya mtu wako kwahiyo unaenda nje kutafuta faraja, unajikuta tu unafunguka,machozi yanakububujika jamaa anakupetipeti anakufuta machozi anakamilisha kwa dyudyu yake , stress zote kwishney unarudi home. Nature ya mwanamke ni kutaka kusikilizwa.
 
Nimeshangaaa sana aisee hili swali ni la wanawake lakini wanaojibu ni wenye I'd za kiume halafu angalia jibu la post inayofuata baada ya post yako.

Huyu Trudie kaongea ukweli kabisa na sijui kashakutana na wanaume wangapi na wakamdanganya. 😅😅😅

Kazi kweli umalayer pro
Hili jukwaa lishakuwa gumu sana sikuhizi.Mleta uzi kasema wazi kabisa "swali kwa wanawake tu,"
 
Nimeshangaaa sana aisee hili swali ni la wanawake lakini wanaojibu ni wenye I'd za kiume halafu angalia jibu la post inayofuata baada ya post yako.

Huyu Trudie kaongea ukweli kabisa na sijui kashakutana na wanaume wangapi na wakamdanganya. 😅😅😅

Kazi kweli umalayer pro

Labda wanawake wanajiita kiume na kujisahau..

Dongo tu jamani hili 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna siku nimempigia demu wangu simu baada ya kuhis ana nicheat mida hio... Maana nakuwaga na hizo hisia..

Sasa akawa amepokea,.. binafsi nakuwaga makini sana kusikiliza sauti around yake. Sasa wakati naongea nae

Akasema please subir nipo na kazi nafanya apa!! Sasa nikawa nazidi kumwongelesha ili nipate sauti ya nyuma yake!

Sasa nikawa nasikia sauti.. ta! ta! ta! ta! ta!
Yaani mtu anaongea Kama anatembea! Halafu anasema Kuna kazi anafanya mara moja nimwache kidog😢..

Nikahis anasukumiwa kitu halafu anaongea na mim
 
Back
Top Bottom