Ukikutana na mwanamke akakwambia moja kati yafuatayo ujue huyo ni muongo na dangaji la kimataifaKama kichwa cha habari kinavyosema
Napenda Tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?
Mnapata ujasiri gani au assurance gani kuongea mambo yooooote mabaya ya mume wako Kwa mchepuko wako
Huwa hamuoni kama mnajidhalilisha nyie wenyewe?
Sasa kama mke wangu hanisusii mbususu nisisemee 🤣🤣🤣🤣Tena wanaume Ndio husimulia michepuko madhaifu ya wake zao.😊
😲 Sasa wee raha ya maishi u aipata wapi?Bahati mbaya au nzuri sijawahi kula mke wa mtu!
Hivi unajua yule mwanamke nilimwonea tu huruma maisha yake yaende. Alikua ana hali mbaya! Unazani bila mm angefika hapo😁Tena wanaume Ndio husimulia michepuko madhaifu ya wake zao.😊
Ukikutana na mwanamke akakwambia moja kati yafuatayo ujue huyo ni muongo na dangaji la kimataifa
1. Mume Wangu ni mlevi Sana hawezi chochote kitandani. Dedicated Dangaji hilo
2. Mume Wangu ana kisukari hawezi kusimamisha...dangaji hilo
3. Mume Wangu ni shoga, a.k.a mchicha mwiba, ujue umekutana na concord Dangaji
4. Mume Wangu Malaya sasa, nimeumia nimechoka, hapa usisahau kuvaa kondom yenye TBS zote plus expiry date iwe valid
5. Mume Wangu ni mgomvi, nimemchoka na hachangii chochote kwenye ustawi wa familia.....ujue hapa umekutana na TRA Dangaji
Unamzalisha, halafu unaenda kusema hana shape 😜hanivutii tenaHivi unajua yule mwanamke nilimwonea tu huruma maisha yake yaende. Alikua ana hali mbaya! Unazani bila mm angefika hapo😁
Wanataka security ya ndalama wewe. Kulishwa kuvalishwa raha bwana wee.Huwa sielewi why wanawake wamo kwenye ndoa, walizitaka wenyewe halafu wanachepuka!!!!
Bora aachane na mume akale maisha kwa raha zake.
Relate na mada mbona ina make sense. Ni lini mtu akatoka kwenye mahusiano akasema memaUwe unasoma Andiko vizuri Before haujajibu
Hata kama ana nyape mkubwa huwezi kutangaza.Kabisa, hatuwez kusema aaah mke wangu ananuka Sana