Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

Tatizo ukishaambiwa unaweza kuliko mume wake ndo unajiona mwanaume sasa wanawake wenye tamaa wanatembea na huo upepo kuhalalisha matamanio yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…