Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

Chama tawala na upinzani huwa hawaongei lugha moja bro.
 
Tena ukitaka ujue vinzur kuhusu mme wake katikati ya mechi mambo yamenoga muulize kitu kuhusu mme wke. Hakika atakwambia mpka kiwango Cha mahali alicho lipa hku akimtukana matusi mkubwa makubwa
Tupe kisa
 
Lakini si wameulizwa wanawake ama sijaelewa?
Nimeshangaaa sana aisee hili swali ni la wanawake lakini wanaojibu ni wenye I'd za kiume halafu angalia jibu la post inayofuata baada ya post yako.

Huyu Trudie kaongea ukweli kabisa na sijui kashakutana na wanaume wangapi na wakamdanganya. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kazi kweli umalayer pro
 
Tatizo linaanzia kwenye kuchepuka, hapo tayari mahusiano yana shida. Ila wakati mwingine unajua mume wako naye anachepuka, au hakufikishi πŸ’¦, wengine wagonjwa inapita mwaka mzee kila akijaribu kuisimamisha anashindwa. Anyway, kusema mambo ya mwezako siyo sawa, ni kukosa heshima ( ila kama unachepuka tayari ushakosa heshima, so πŸ€·πŸ½β€β™€οΈ)
 
sasa jamani,, sijaolewa nataka nijue maana yake kama ni muhimu basi namimi nikiolewa nipate io mchepuko.
Sasa wewe kama hujui, umejuaje kwamba mchepuko anapatikana baada ya kuolewa..!! yaani bado utaturudisha nyuma sana ujuwe..!!
 
Sasa wewe kama hujui, umejuaje kwamba mchepuko anapatikana baada ya kuolewa..!! yaani bado utaturudisha nyma sana ujuwe..!!
io mahusiano mengine, kwenye title apo,nmejua tu n mtu aliyeko ndani
 
Wapo sahihi kuwaongelea vibaya lengo wasionekane malaya...
 
Hata wanaume wanasimulia sana madhaifu ya wake zao kwa michepuko yao ni vile hujawaji kudate nao ndo maana hujui.

Jibu ni simple.
Sababu kubwa ya kuchepuka ni kutoridhishwa matendo ya mtu wako kwahiyo unaenda nje kutafuta faraja, unajikuta tu unafunguka,machozi yanakububujika jamaa anakupetipeti anakufuta machozi anakamilisha kwa dyudyu yake , stress zote kwishney unarudi home. Nature ya mwanamke ni kutaka kusikilizwa.
 
Hili jukwaa lishakuwa gumu sana sikuhizi.Mleta uzi kasema wazi kabisa "swali kwa wanawake tu,"
 

Labda wanawake wanajiita kiume na kujisahau..

Dongo tu jamani hili 🀣🀣🀣🀣
 
Kuna siku nimempigia demu wangu simu baada ya kuhis ana nicheat mida hio... Maana nakuwaga na hizo hisia..

Sasa akawa amepokea,.. binafsi nakuwaga makini sana kusikiliza sauti around yake. Sasa wakati naongea nae

Akasema please subir nipo na kazi nafanya apa!! Sasa nikawa nazidi kumwongelesha ili nipate sauti ya nyuma yake!

Sasa nikawa nasikia sauti.. ta! ta! ta! ta! ta!
Yaani mtu anaongea Kama anatembea! Halafu anasema Kuna kazi anafanya mara moja nimwache kidog😒..

Nikahis anasukumiwa kitu halafu anaongea na mim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…