Swali kwa wanawake tu, ni kwanini mkiwa na mahusiano mengine nje/mchepuko, huwa mnawaongelea vibaya waume zenu?

Mkamalizanaje mkuu! 🤣🤣🤣

Bado una date naye!!
 
Ukimaliza swali lirudi kwa wanaume
 
Nyie tena mnalalamika...mnaotoa hadi namba zetu tuje kuchambwa?

Sababu yetu ni hiyo hiyo yenu.
 
Kuhusu vi bamia tutasimulia 🤭😅mtatusamehe kwa kweli
Kwanini Uliolewa nae?

Nyinyi hamjawahi kuwa na akili… kwenye wanawake 10 mwenye akili angalau ya Tia maji tia maji ni mmoja, Tena akifika kwenye 50’s ndo anaanza kukua
 
Kwanini Uliolewa nae?

Nyinyi hamjawahi kuwa na akili… kwenye wanawake 10 mwenye akili angalau ya Tia maji tia maji ni mmoja, Tena akifika kwenye 50’s ndo anaanza kukua
Umetumia Nguvu kubwa sana kuandika.
 
Hawako matured hao. Mwanamke mkomavu aliyefundwa na mwenye kujitambua, kamwe hawezi sema madhaifu ya mumewe Kwa mchepuko. Atachepuka na Siri zake namumewe hatozitoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…