Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Maisha Ni Mtizamo..
Wako Wanawake Waliokwenda Vyuo na kupata Astashahada,Stashahada,Shahada na zaidi,Je Wakae NYUMBANI na wasifanyie kazi taaluma zao?!!!
Niliwahi Kukutana na Dr.Mmoja kijana aliyepata PhD Kabla ya kufika 37 aliniambia ametoka kuoa,nikategemea ataniambia Ni msomi mwenzake,akanieleza hapana ni form 4 leaver na mke ana 26 toka amalize kidato Cha 4 alikuwa nyumbani kwao akisaidia biashara za kwao.Akanijulisha kuwa wamekubaliana atakuwa ni HOUSE WIFE.
Kupanga ni kuchagua!