Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Mkuu Mbona mkali Sana....kufikia kunishambulia sijui DHIMA ya elimu....
Kwa hiyo vyuo vikuu visidahili watoto wa kike kusoma udaktari,Urubani,uinjinia kwa kuwa si LAZIMA KWAO?!!!!
Duuuh.....
Kwani mkuu wakizisoma,hofu yako ni Nini haswa?!!