- Thread starter
- #61
Inaonekana humjui vizuri ndiyo maana unasema hivyo, uthaymeen mule hajaandika story za vijiweni wala ngano za kusadikika, bali aliandika habari na nukuu toka kwa yule aliye waumba hao wanawake. Sasa vipi asiwa jue vizuri wakati amenukuu habari toka kwenye kinywa twahara naye toka kwa Malaika muheshimiwa naye Malaika muheshimiwa ametoa kwa Mola muumba.Let me tell you sthn...
Yaa Akhui Fasbir Swabran Jamila,kwanini una wahka kiasi hcho?!!
Uthaymeen ninamjua vyema....mno Tena....Ila sioni km MWANAUME Yule ANAWEZA kuwajua wanawake zaidi ya wajijuavyo......
Sasa, nazidi kucheka unapo sema Uthaymeen hawajui wanawake vizuri. Nina toka na kujifaragua ya kuwa anawajua vizuri mno,tena siyo kwa story za vijana ambao husema kumjua mwanamke kunataka usome mavitabu na vitabu, mimi mwenyewe nimewajua wanawake kwa kauli moja tu.