Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Naendelea kunukuu, leo naenda kwa mtindo huu.


Yanayojiri baada ya hili tulio nalo sasa

"Hata sasa tunapoishi katika karne ya 21, tunasikia malalamiko mengi kuliko kipindi kingine chochote kuwa mfumo wa familia unaporomka, msingi wa ndoa unadhoofika, wavulana wanakwepa kuoa, wasichana wanachukia kuzaa (kuwa mama), mahusiano baina ya wazazi hasa akina mama na watoto yanazidi kuwa mabaya, mwanamke wa dunia ya leo hana adabu, ngono ya bei nafuu inachukua nafasi ya mapenzi ya dhati, talaka zimeongezeka, idadi ya watoto waliozaliwa nje ya ndoa inaongezeka, mapenzi ya dhati, heshima na uchangamfu kati ya mume na mke vinazidi kupungua." (Mwisho wa kunukuu)

Ahsante.
 
Kwani mimi dhehebu langu linaitwaje kaka mkubwa ?

Kijana nimekwambia hivi, viatu ulivyo vivaa vina kupwaya, ona unavyo onekana kituko.
Mkuu Wala Sionekani Kituko kwani labda wengine hawaujui undani wenu....
Viatu Vimenibana kabisa...
 
Acha Kujitetea..Nani asiyejua tofauti hiyo unayong'ang'ana....it was a typing error....na ushahidi wa kuwa mnatumika kwa Malengo ya KISIASA za wafalme wa Najd Uko available to every sane person,hakuwezi kukubalika hata siku moja......
Hapa umejichanganya mzee, nipe tofauti za hayo maneno mawili.

Nacheka sana, kama huo ushahidi upo kila sehemu bila shaka hata wewe hapo ulipo unao, uwana ndiyo huu huu, jimwaye mwaye mzee na huo ushahidi ulio nao, aisee ukishindwa kuweka huo ushahidi, kaa ukijua utakuja kuulizwa na unatakiwa kuniomba radhi kwa kuandika mambo ya uongo.
Your Sponsors are very rich persons na wanamwagia mipesa Kwenu kwa kuwa mnawahakikishia mtakuwepo kusambaza UJINGA WAO kwa kila sikio linalosikia....
Weka ithibati kama wewe unasema ukweli mzee. Hizi story nimeanza kuzisikia zamani tangu kipindi cha Khalifa Khamisi na kitabu chake alichokiita "Uwahabi nyuma ya pazia la Uyahudi" kama sikosei, japo nilikuwa mdogo kiumri kile kitabu nilikinunua kipindi hicho sina maarifa.

Ila mimi nawajua walio anza kutuiita sisi kuwa ni Wahabi na kwanini walituita hivyo, ushahidi ninao.

Halafu kwanini vijana wa siku hizi siyo watafiti wa mambo na mmekuwa kama masponchi, mnanyonya kila kimiminika.

Nipo ....
 
Mkuu Wala Sionekani Kituko kwani labda wengine hawaujui undani wenu....
Viatu Vimenibana kabisa...
Nimekuuliza dhehebu letu sisi linaitwaje ? Ndiyo huo Uwahabi au ? Ukisema Uwahabi ni Dhehebu au Usalafi ni dhehebu, nitakuomba ushahidi wa kiusulu na kisheria ya kwamba ili dhehebu liitwe dhehebu linatakiwa liwe na sifa gani, ukishindwa, itabidi unitake radhi tena kwa mara nyingine.

Naendelea kukuonyesha ya kuwa viatu vinakupwaya hivi. Subiri ujionee mzee, si umeniita ? Mimi ndiyo nimeitika hivyo.
 
Jiandae kuambiwa katafute hela au insecure 🤣🤣🤣!!!

Hayo ni majibu ya takeaway ya warembo wa jf!
Wamefanywa kama wanasesere, badala walinde heshima zao wanataka tufanane na sisi, wao wanatunga mimba sisi tunamwaga mbegu, lakini bado tu ? Utasikia kauli zao hatutaki kuwa chini yenu,hivi kuna nazi iliyo shindana na jiwe ? Hii ni asili na siyo tatizo.

Natamani sana hawa wanawake wa kileo wangepata walimu wazuri.
 
Jurjani Unajikoroga...
Umekuja kututambia kuwa wewe ni WAHABI mfuasi wa al marhum Shaykh Muhammad Abdulwahab wa Najd?unaendelea kujitamba kuwa unajiita ANSWAR US SUNNAH?!!!

Akili ndogo kabisa.....I thought utakuja na rejea ya collective ideas kuhusu hedhi ya wanawake....Umeamua kututoa na kufanya PROMO ya mabwana Zenu Wauaji Wa Kunnya ya Al Saud......

Zwazwa plus😂😂😂😂
 
Wamefanywa kama wanasesere, badala walinde heshima zao wanataka tufanane na sisi, wao wanatunga mimba sisi tunamwaga mbegu, lakini bado tu ? Utasikia kauli zao hatutaki kuwa chini yenu,hivi kuna nazi iliyo shindana na jiwe ? Hii ni asili na siyo tatizo.

Natamani sana hawa wanawake wa kileo wangepata walimu wazuri.
Walimu Wazuri ndio NYINYI?!!!

Mtawafundisha Nini zaidi ya Mateso ya KIFIKRA na KIMWILI?!!!!!

Acha kutuchekesha....Innal Batwila Kana ZAHUKA!!!
 
Walimu Wazuri ndio NYINYI?!!!

Mtawafundisha Nini zaidi ya Mateso ya KIFIKRA na KIMWILI?!!!!!

Acha kutuchekesha....Innal Batwila Kana ZAHUKA!!!
Nasubiri shahidi zako mzee, na ujibu maswali niliyo kuuliza.

Si umeniita, nimeitika chief.

Tuendelee....
 
Kwa wote wanao sema dunia ya sasa imebadilika lazima twende na wakati

Sisi tunawakumbusha kwa kuwaambia haya yafuatayo. Ya kuwa wasilazimishwe na historia bali wajue ya kuwa kila jambo lina chanzo chake, bali watumie akili zao na kuangalia faida na hasara juu ya haya wanayo yaiga na kujitutumua kwayo.

Nanukuu :

"Nukta ya kwanza ni kuwa watu wengi wanaoongelea maendeleo na mabadiliko ya hali wanadhani kuwa mabadiliko yoyote ya kijamii, hasa kama yametokea nchi za Kimagharibi, basi ni matokeo ya maendeleo.

Hili ni moja ya mawazo potofu liliyoendekezwa na kizazi hiki. Watu wanadhani kuwa kwa vile njia za maisha hubadilika siku hadi siku, zilizo duni hubadilishwa kwa zilizo bora zaidi na sayansi na viwanda vinaboreka kila siku, mabadiliko yote katika maisha ya binadamu ni aina ya maendeleo na kwa hiyo yanafaa kukaribishwa na kupokelewa kwa mikono miwili. Wanafikiri pia kuwa mabadiliko haya hayaepukiki na huja baada ya muda fulani." (Mwisho wa kunukuu)
 
Jurjani Unajikoroga...
Umekuja kututambia kuwa wewe ni WAHABI mfuasi wa al marhum Shaykh Muhammad Abdulwahab wa Najd?unaendelea kujitamba kuwa unajiita ANSWAR US SUNNAH?!!!
Naendelea kukuonyesha ya kuwa viatu ulivyo vaa vina kupwaya.

Kwanza mpaka unakufa, huwezi kuonyesha wapi nimejikoroga.

Hakuna sehemu niliyoandika wala kuashiria ya kuwa mimi ni Wahabi wala mimi ni mfuasi wa Shaykh Muhammad bin Abdulwaab (Allah Amrahamu), wewe uliyesema sisi ni Wahabi, nimekuomba ushahidi lakini mpaka muda huu hujaonyesha, lakini kadhalila ukanipa dhehebu, nikakuuliza dhehebu langu ni lipi, kisha nikakuuliza maswali kadhaa nayo hujajibi.

Lakini la kushangaza umeandika mimi najitapa kwa kujiita "ANSWAR US SUNNAH" wapi nimeliandika hili, na je Answar us Sunnah ni dhehebu au kitu gani ?

Sasa kama umezoea kupayuka na kuandika unachokitaka pasi na elimu, hapa nakuonya kwamba tabia hiyo si nzuri, utaonekana kituko.

Nasubiri shahidi zako na ujibu maswali yangu.
 
Jurjani

Na kuhusu Tofauti ya Salaf na Salafi iwazi mbona......

Nimekwambia Hao Salaf ni wale waislam waliokuwa dedicated ktka DINI mwanzo huko katika Century tatu baada ya mtume Muhammad(s.a.w)....

Hao mnaojitia nao SALAFI Wamejipachika kuwa nao wanawaiga wale SALAF kivitendo ili Umma uzidi kuwa Bora.....
Hawa SALAFI walianza Karne moja na KIDOGO huko Misri......
 
Rejea WAHABI FITNA EXPOSED Cha Sayyid Akhtar Rizvi.....

Soma hicho kwanza
Huyu mzee Mshia alikuwa Sayyid Akhtari Rizv walipata kuishi hapa Tanzania, nilikuwa nacho kitabu chake hicho kwa lugha ya Kiswahili. Mwanae aliitwa Muhammad kama sikosei.

Nilijua tu utakuwa Mshia, sababu hawatuiti ya kuwa sisi ni Wahabi isipokuwa Mashia na Wanaharakati.

Mashia mna matatizo sana, baada ya Saudia kuwazuia kupeleka shirki zenu Makka mkaana king'aka na kuufadhilisha mji wa Karbala kuliko mji wa Makka na Madina.

Kile kitabu hakina ukweli wowotevna Khalifa Khamis alikopi humo habari zake.
 
Hawa SALAFI walianza Karne moja na KIDOGO huko Misri......
Nani alikuwa wa mwanzo katika huu Usalafi huko Misri ?

Kama unajua ya kuwa karne tabu bora walikuwa maswahaba, matabiini na walio wafata tabiini, Qur'aan inawazungumzia vipi Maswahaba na kuna ubaya gani sisi kuwafata maswahaba wa mtume ?

Kuna kitabu chenu kimoja chenu kimoja ninacho, kinauzungumzia usalafi ni vituko tupu.
 
Jurjani Acha nogwa za Kutumia nguvu ya maneno katika kueneza MALENGO YA MABWANA Zenu ili mupewe mradi wenu wa Tende,Kanzu,Jilbab,nyama ya mbuzi,kondoo,ngamia,vikoi,tarabush,POSHO,mishahara,kuchmbiwa visima na kujengewa vijumba na Madaris.....

Umepokea Rejea Ya Sayyid Akhtar Rizvi?!!!
 
Huyu mzee Mshia alikuwa Sayyid Akhtari Rizv walipata kuishi hapa Tanzania, nilikuwa nacho kitabu chake hicho kwa lugha ya Kiswahili. Mwanae aliitwa Muhammad kama sikosei.

Nilijua tu utakuwa Mshia, sababu hawatuiti ya kuwa sisi ni Wahabi isipokuwa Mashia na Wanaharakati.

Mashia mna matatizo sana, baada ya Saudia kuwazuia kupeleka shirki zenu Makka mkaana king'aka na kuufadhilisha mji wa Karbala kuliko mji wa Makka na Madina.

Kile kitabu hakina ukweli wowotevna Khalifa Khamis alikopi humo habari zake.
Mimi Sio Mshia Wala Sina ushabiki makundi mliyomo.....

Mimi Ni muislam wa kawaida nisiye na nongwa Kama nyinyi....

Mimi Ni muislam mwenye kufuata IJMA Wal Kiyaas.....
Miye Ahl us Sunnah nisiyetaka midahalo yako Koko ya kidini baada ya wewe kushiba Nyama ya mbuzi MSAADA kutoka KWA MBS.....Yule aliyetoa Order Kashoggi achinjwe na kutiwa katika mabegi apelekewe KICHWA......
 
Misimamo Yenu Hovyo kabisa...eti wake zetu jamili nasi wasiendeshe NDINGA wawe km Saudia....
Yaani mke wangu akae ndani TU....
Na km mm sipo,mtoto anaumwa,gari Ina mafuta...aiangalie TU.....

Kweli ninyi MATOPOLO mnawaza Ngono tu muda wote....Wivu wa kitoto HASWAAAA!!!

Kweli Aya haikukosea "Innal Batwila Kana ZAHUKA".......

Alamsiki!!
 
Nani alikuwa wa mwanzo katika huu Usalafi huko Misri ?

Kama unajua ya kuwa karne tabu bora walikuwa maswahaba, matabiini na walio wafata tabiini, Qur'aan inawazungumzia vipi Maswahaba na kuna ubaya gani sisi kuwafata maswahaba wa mtume ?

Kuna kitabu chenu kimoja chenu kimoja ninacho, kinauzungumzia usalafi ni vituko tupu.
Hao wa Karibuni ni kina Muhammad Abduh na Rashid Rida wanaofanya Rejea kwa Shykh Ibn Tayymiah na Ibun Kathir.....
 
Maadili yapi ? Kulingana na nani? Maadili ya kupiga marufuku ukeketaji?
Sasa ulitakiwa ujue haya yametokea wapi ?
Basi soma historia na uwaulize wakubwa katika wale unao waamini je ni ipi tofauti kati ya miaka hii na miaka iliyopita ? Kama zama hizi tunasema ndiyo zimestaaribika iweje mmomonyoko wa maadili umekuwa mkubwa sana ?
 
Back
Top Bottom