Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Akitafute wapi? Wewe elezea kwa kifupi yaliyo katika hicho kitabu
Kwa kuanzia tafuta kitabu hiki "Natural Blood of Women"
Kwa kuanzia tafuta kitabu hiki "Natural Blood of Women"
Ni miongoni mwa sababu hizo.
Kwani jukumu la kuwasimamia watoto nyumbani ni nani ? House girl au mama mwenye watoto ?
Kwa wote wanao sema dunia ya sasa imebadilika lazima twende na wakati
Sisi tunawakumbusha kwa kuwaambia haya yafuatayo. Ya kuwa wasilazimishwe na historia bali wajue ya kuwa kila jambo lina chanzo chake, bali watumie akili zao na kuangalia faida na hasara juu ya haya wanayo yaiga na kujitutumua kwayo.
Nanukuu :
"Nukta ya kwanza ni kuwa watu wengi wanaoongelea maendeleo na mabadiliko ya hali wanadhani kuwa mabadiliko yoyote ya kijamii, hasa kama yametokea nchi za Kimagharibi, basi ni matokeo ya maendeleo.
Hili ni moja ya mawazo potofu liliyoendekezwa na kizazi hiki. Watu wanadhani kuwa kwa vile njia za maisha hubadilika siku hadi siku, zilizo duni hubadilishwa kwa zilizo bora zaidi na sayansi na viwanda vinaboreka kila siku, mabadiliko yote katika maisha ya binadamu ni aina ya maendeleo na kwa hiyo yanafaa kukaribishwa na kupokelewa kwa mikono miwili. Wanafikiri pia kuwa mabadiliko haya hayaepukiki na huja baada ya muda fulani." (Mwisho wa kunukuu)
They Call Themselves TRADITIONALISTS😁😁😁
Nitaishije?Ndiyo.
Wewe kwanini unafanya kazi ? Unaweza kuniambia kwanini na kunionyesha ulazima uko wapi ?
Wanao ishi wote wanafanya kazi ?Nitaishije?
NdioWanao ishi wote wanafanya kazi ?
Wewe Shia na shahidi huna kwani hata Mashia nao hujiita Ahlu Sunnah wal Jamaa, ila tunap wapima kwenye mizani ni baina Mashariki na Magharibi.Mimi Sio Mshia Wala Sina ushabiki makundi mliyomo.....
Mimi Ni muislam wa kawaida nisiye na nongwa Kama nyinyi....
Mimi Ni muislam mwenye kufuata IJMA Wal Kiyaas.....
Miye Ahl us Sunnah nisiyetaka midahalo yako Koko ya kidini baada ya wewe kushiba Nyama ya mbuzi MSAADA kutoka KWA MBS.....Yule aliyetoa Order Kashoggi achinjwe na kutiwa katika mabegi apelekewe KICHWA......
Siyo kweli, mimi wake zangu hawafanyi kazi na wanaishi.Ndio
Kama sina mume?Siyo kweli, mimi wake zangu hawafanyi kazi na wanaishi.
Na wamesoma secular.
Wazazi wako watakulisha au kaka zako au mfano wa hao.Kama sina mume?
Ona ulivyo kuwa mjinga, kwahiyo kila anae rejea kwa maimaamu hao wawili ni Salafi ?Hao wa Karibuni ni kina Muhammad Abduh na Rashid Rida wanaofanya Rejea kwa Shykh Ibn Tayymiah na Ibun Kathir.....
Maadili kulingana na hali halisi.Maadili yapi ? Kulingana na nani? Maadili ya kupiga marufuku ukeketaji?
Wazazi wangu ni wazee, badala ya mimi mwenye nguvu nifanye kazi niwatunze wao ndio wanitunze?Wazazi wako watakulisha au kaka zako au mfano wa hao.
Mtandaoni.Akitafute wapi? Wewe elezea kwa kifupi yaliyo katika hicho kitabu
Naona unakwepa jibu nililo kupa siyo...?Wazazi wangu ni wazee, badala ya mimi mwenye nguvu nifanye kazi niwatunze wao ndio wanitunze?
Watoto wakishaanza shule unakaa nyumbani kusimamia nini siku nzima?Ni miongoni mwa sababu hizo.
Kwani jukumu la kuwasimamia watoto nyumbani ni nani ? House girl au mama mwenye watoto ?
90% wamepotokaKwanini unahisi wanawake wote wamepotoka?
Au umeandika sehemu baadhi?.