Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Nimeruka wapi bibie, ili nione kisha nikuonyeshe kama sijaruka.Wewe ndo unaandika kitu ukijibiwa waruka kimanga
Nijibu hayo maswali kwa kukubali au kukataa tu mi nitaelewa concept nzima ya uzi wako. Nimejitahidi kurudia tena ila najikuta naelewa kile kile nilicho kuulizaSoma nilichokiandika mzee, kinajieleza wazi, usiwe na haraka, hii mada nyepesi sana na nimeiandika kwa kuangalia hali za watu humu ndani.
Mimi swali langu liko palepale kwanini uumizwe na Mambo yetu wanawake ka si umbeya Nini?Hivi unamuulizaje mwanaume swali hili, wakati kwa vyovyote wanawake wananihusu. Wanawake ndiyo wake zetu, watoto wetu, dada zetu na mfano wake.
Kwa nafasi adhimu ya mwanamke na majukumu, ni muhali mimi kutoumizwa kwa kuona anavyo chezewa na kuvunjiwa heshima yake, huku yeye mwenyewe akiona ya kuwa amekombolewa.
Dunia imebadilika katika nini bibie ? Kwahiyo nyinyi mmekuwa ni bendera fata upepo siyo ? Kuna mabadiliko ambayo hayabadilishi asili hata kwa bahati mbaya, hakuna mabadiliko ambayo hubadilisha majukumu ya mwanaume kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume na familia, hili halipo bibie.
Dunia ni ile ile na watu ni wale wale, ila iliyo badilika ni fikra na mitazamo tu na maendeleo ya kiteknolojia.
Nisilo lielewa bibie labda ule uchungu wenu mnapo zaa au hali zenu mnapoingia katika ada(hedhi) zenu ila hata hizo huwa mnatupa habari.
Hakuna siku umeandika ujinga kama haya maneno yako. Hedhi ni zaidi ya unavyoijua wewe kama ni damu chafu,ila hedhi ina tuhusu sisi pia wanaume kwa ukaribu kwa ajili ya kuwafanyia wema wake zetu na kuwapa stahiki zao.
Wewe mpaka unakufa huwezi kuiongelea hedhi katika hakika yake na hukumu zake.
Bibie usikate tamaa, hatukupangii ila tunawaonyesha wapi mlipo kosea.
Kwani kufanyia kazi taaluma mpaka ufanye wanavyo fanya wanawake wa kileo ? Au lengo la kusoma ni nini hasa ?Wako Wanawake Waliokwenda Vyuo na kupata Astashahada,Stashahada,Shahada na zaidi,Je Wakae NYU
Sasa ulitakiwa ujue haya yametokea wapi ?Mimi nimezaliwa nimekuta wanawake wako maofisini, barabarani wanatafuta rizki kwa hiyo ukiniuliza hilo swali sijui kama nitakuwa na jibu
Huja soma nilichokiandika mzee, ungesoma nilichokiandika na kuelewa uzuri, usingeuliza hilo swali.Nijibu hayo maswali kwa kukubali au kukataa tu mi nitaelewa concept nzima ya uzi wako. Nimejitahidi kurudia tena ila najikuta naelewa kile kile nilicho kuuliza
Nijibu haya maswali utakua umenisaidia kuelewa mada yako vizuri
kwaiyo wanawake wenye wanajishughulisha na shughuli za kimaendeleo ikiwemo biashara pamoja na kujichanganya kijamii katika mishe zingine umewahesabu kama mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine au ni wanawake wasiofaa kufatwa kulingana na vitu hivyo nilivyo vi-orodhesha?
Mkuu samahani naomba ufafanuzi katika Hilo la "Mpaka anakufa HAWEZI kujua hukumu za hedhi"...Hivi unamuulizaje mwanaume swali hili, wakati kwa vyovyote wanawake wananihusu. Wanawake ndiyo wake zetu, watoto wetu, dada zetu na mfano wake.
Kwa nafasi adhimu ya mwanamke na majukumu, ni muhali mimi kutoumizwa kwa kuona anavyo chezewa na kuvunjiwa heshima yake, huku yeye mwenyewe akiona ya kuwa amekombolewa.
Dunia imebadilika katika nini bibie ? Kwahiyo nyinyi mmekuwa ni bendera fata upepo siyo ? Kuna mabadiliko ambayo hayabadilishi asili hata kwa bahati mbaya, hakuna mabadiliko ambayo hubadilisha majukumu ya mwanaume kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume na familia, hili halipo bibie.
Dunia ni ile ile na watu ni wale wale, ila iliyo badilika ni fikra na mitazamo tu na maendeleo ya kiteknolojia.
Nisilo lielewa bibie labda ule uchungu wenu mnapo zaa au hali zenu mnapoingia katika ada(hedhi) zenu ila hata hizo huwa mnatupa habari.
Hakuna siku umeandika ujinga kama haya maneno yako. Hedhi ni zaidi ya unavyoijua wewe kama ni damu chafu,ila hedhi ina tuhusu sisi pia wanaume kwa ukaribu kwa ajili ya kuwafanyia wema wake zetu na kuwapa stahiki zao.
Wewe mpaka unakufa huwezi kuiongelea hedhi katika hakika yake na hukumu zake.
Bibie usikate tamaa, hatukupangii ila tunawaonyesha wapi mlipo kosea.
Hili swali nimekujibu, labda kama una swali lingine uliza.Mimi swali langu liko palepale kwanini uumizwe na Mambo yetu wanawake ka si umbeya Nini?
Haki tukivunjiwa heshima inakuhusu Nini ni sisi tumeamua and we are happy kwanini uumizwe na uamuzi wetu maana hyo masharti yako labda umpe mbuzi Ila binadamu timamu huwezi.
Utuache babu dunia hii kila mtu ana Uhuru wa kufanya alisikialo
Sababu hiyo ni elimu,mpaka siku akiamua akalishwe asomeshwe ndiyo huenda akaelewa hilo somo, ila kwa mtindo huu hawezi.Mkuu samahani naomba ufafanuzi katika Hilo la "Mpaka anakufa HAWEZI kujua hukumu za hedhi"...
Asante.
Mkuu Ukimsomesha mtoto wa Kike Urubani,utengenezaji Ndege,Uhandisi wa mitambo ya viwandani na hata upasuaji wa kidaktari,lengo linakuwa si kufanya kazi yake hiyo?!!Kwani kufanyia kazi taaluma mpaka ufanye wanavyo fanya wanawake wa kileo ? Au lengo la kusoma ni nini hasa ?
Unaweza kuonionyesha au kuniambia ni ulazima wa yeye kusoma hizo fani ? Ukionyesha ulazima huo, nitajibu swali lako kwa uzuri na utafurahi bila shaka.Mkuu Ukimsomesha mtoto wa Kike Urubani,utengenezaji Ndege,Uhandisi wa mitambo ya viwandani na hata upasuaji wa kidaktari,lengo linakuwa si kufanya kazi yake hiyo?!!
Sijaona jibu hapoHili swali nimekujibu, labda kama una swali lingine uliza.
Sababu hiyo ni elimu,mpaka siku akiamua akalishwe asomeshwe ndiyo huenda akaelewa hilo somo, ila kwa mtindo huu hawezi.
Sawa.Sijaona jibu hapo
Mkuu kwani kusoma Ni lazima kuwe ni kwa ulazima?Unaweza kuonionyesha au kuniambia ni ulazima wa yeye kusoma hizo fani ? Ukionyesha ulazima huo, nitajibu swali lako kwa uzuri na utafurahi bila shaka.
Mkuu hiyo elimu inatolewa wapi nami nimuambie mke sista duu wangu akaisome?
Bila shaka, kumbe ulikuwa unajenga hoja juu ya jambo usilolijua ?Mkuu kwani kusoma Ni lazima kuwe ni kwa ulazima?
Asili na haja.Ulazima huo wanapanga kina Nani?!!
Inaonekana hujui maana ya elimu.Maana baba asiyekuwa na elimu na mkewe Ni nadra KUMPA ulazima binti Yao kusomea Urubani na mfano wa hayo niliyosema hapo juu....
Sawa,ninaomba hints Tafadhali..Author wake!Kwa kuanzia tafuta kitabu hiki "Natural Blood of Women"